Recent content by mabaraza john

  1. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) amtaka Rais Magufuli asafiri Nje ya Nchi ajifunze kwa wenzake

    ata nusu mwaka ajafika ndo aanze safari,chadema acheni kujitoa akili.muda ukifika atasafiri.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) amtaka Rais Magufuli asafiri Nje ya Nchi ajifunze kwa wenzake

    ndo kwanza ata nusu mwaka ajafikisha ndo aanze kusafiri.tueni na akiri acheni ushabiki bwana
  3. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    aliye pangiwa ilala anijuze utaratibu jamani
  4. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    kuna aliepangiwa ilala kaisharipoti?
  5. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    naomba kujua ka vibari vimeisha anza kutolewa kwa walimu waliohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine.mwenye taarifa naomba anijulishe tafadhali
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

    naomba kujua ka vibari vimeisha anza kutolewa kwa walimu waliohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine.mwenye taarifa naomba anijulishe tafadhali
  7. M

    JamiiForums Tanzania 'WALIMU' Karibuni tukumbushane mada za utaalamu na kitaaluma

    naomba kujua ka vibari vimeisha anza kutolewa kwa walimu waliohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine.mwenye taarifa naomba anijulishe tafadhali.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Upandishwaji wa madaraja kwa walimu sasa ni kwa vitendo

    tatizo mfumo wetu wa elimu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    hata mdogo wangu ni mhanga wa hiyo mambo, hivo kunamtu kanambia sometimes uwa inaeenda mpa mwezi wa pili nawasii kuwa wapole tu tamisemi watafanya yao.
  10. M

    JamiiForums Tanzania TCU na Kozi za Udakitari

    ameomba ushauri nadhani tungemshauri kuliko kumwambia ana akili ndogo haiwezi MD.USIJIDANGANYE eti umepata distinction naye kapata merits ukadhan hana akili uwezi jua wakati anafanya mtihani alipatwa na nini
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kustaafu siasa

    huyo mzee anahangaika tu.na urais hapati
  12. M

    JamiiForums Tanzania Iringa kimenuka

    kwanini watu tunaanzisha mijadala isiyokuwa ya kweli?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kufunga kampeni: UKAWA-Jangwani, CCM- Mwanza CCM Kirumba

    haa wapi kama kawa tutajitokeza kwa wingi kusikiliza polojo za ukawa na ccm.chama ni ACT tu
Back
Top Bottom