Uhamisho wa watumishi wa Serikali

Uhamisho wa watumishi wa Serikali

Acheni kupotosha wenzenu kama hujui kaa kimya.
Huyo jamaa asaliv ni mtu wa ajabu sana, ukifatilia post zake za awali alikuja hajui maana kaanzisha uzi anataka kujua lini, badae akaja na majibu humu akiwaaminisha watu anajua siku ya kutoka majina , mbele kidogo akageuka na yeye akawa muulizaji, mbele kidogo akaanza ku remark saizi mwisho hapa kaja sasa na utabiri tayari anajua tena, nimemsoma nime shamfahamu ni mtu wa namna gani...so usiwe na shaka nae ila nna wasiwasi na uwezo wake kama mwl labda kama si mwalimu ni mtendaji kata
 
Na nadhani ifike mda ujitambue kiakili we n MTU wa aina gani,kudisvalue profession ya MTU n utahira,na kama we hauna presha ya kuhama ya nn kuingia ktk hii thread?kwanza Ualimu na utendaji,unakuhusu nini,maana kama akili yako mbovu hivo nna wasiwasi hata elimu yako n ya kiasi gani?umenifanya niandike mengi na nadhani ningekutambua mapema ningekupuuzia,ila chukua hatua
 
Wote mnaohitaji uhamisho wengi ni watumishi wa serikali ya nn kugombana na kutoleana maneno yasiyo faa. Heshima ya serikali inajengwa na watumishi wake.
 
hata mdogo wangu ni mhanga wa hiyo mambo,
hivo kunamtu kanambia sometimes uwa inaeenda mpa mwezi wa pili nawasii kuwa wapole tu tamisemi watafanya yao.
 
Habar rafiki yangu yupo Iringa idara Elimu msingi anahitaji kuhamia Mpanda kama unamtu unamfaham ana nia ya dhati plz. Nipm haraka xna
 
MBONA KAMA KIMYA KIME TAWALA SANA
MSIJALI MTAHAMISHWA TU, MKIKOSA MAISHA POPOTE,
 
Ya mtu wa kubadilishana nahuyu rafiki yangu mi mi bado nasubir majina ya uhamisho
 
Sasa pressure ya nn na wakati ulifata taratbu zote?na kama hjagushi n lazma wapitishe,
Pressure ya nini, pressure ya kutaka kufanikiwa kwa wakati ninaoupanga. Kuna vitu unapanga kutokana na ulivyoamua kufanya, sio? Sasa inatokea haijatokea kuna vituvinaathirika najua unajua... Ingekuwa kila kitu unakifanya katika mikono yako yako unakuwa na 99% na zaidi kuna vingine vinafanywa na wengine huwezi kuwa katika 100 hujawahi ona malalamiko ya uhamisho kuwakila kitu lakini Nina hakuna, gharama take ni muda gani ......... huwezi kuwa kwenye 100, najua unajua. Ningefanikiwa kufikisha Tamisemi at least....
 
Back
Top Bottom