Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

Hawa jamaa wanazingua maana walisema ztakuwa tiyar 22 sasa najiulza znakuja kwa njia gan hdi sasa zsiwepo. Hku Nanyumbu- Mtwara bado kabsa.
 
Hawa jamaa wanazingua maana walisema ztakuwa tiyar 22 sasa najiulza znakuja kwa njia gan hdi sasa zsiwepo. Hku Nanyumbu- Mtwara bado kabsa.
Utakuwa uzembe Wa karibu tawala mkoa au kama kuna wilaya wamepata hapo mkoani basi uzembe ni Wa mkurugenzi maana barua toka tamisemi zimeandikwa tareh 21/12/2015.
 
Hv wakurugenz wanasaini barua kwa mpango gain? Mbona wanazingua sana? Kitendo cha kusaini nacho kinachukuwa siku mbil na zaidi! Tunamuomba Majaliwa alitazame hili, we are tired
 
Bariadi nasikia zimefika zna wiki zipo kwa mkurugenzi gazijasainiwa......inatia hasira
 
Hv wakurugenz wanasaini barua kwa mpango gain? Mbona wanazingua sana? Kitendo cha kusaini nacho kinachukuwa siku mbil na zaidi! Tunamuomba Majaliwa alitazame hili, we are tired
Huezi amini mkurugenzi wetu bariadi amekalia barua wiki sasa.....haziJasainiwa majipu kila sehemu
 
Huezi amini mkurugenzi wetu bariadi amekalia barua wiki sasa.....haziJasainiwa majipu kila sehemu
Huezi amini mkurugenzi wetu bariadi amekalia barua wiki sasa.....haziJasainiwa majipu kila sehemu
Wadau tufahamishane kama barua za KIBALI kama zimefika wilayani kwenu.
yaan huku meatu hata haijulikani kama zimefika au la maana kila ukienda ofisini wanadai heti bado hazijafika kufikia jana tarehe 25
 
wakuu...ni wiki ya pili sasa tangu majina ya uhamisho wa watumishi yatoke katika tovuti ya TAMISEMI....cha ajabu huku BARIADI barua tunaambiwa zimefika ila hazijasainiwa wiki ya pili sasa.....hili nalo tatizo
 
hata nyasa na kilolo iv zle siku 14 cztaoshia huku huku tulpo afu kama mm hata cfundsh asa iv nawaza niendako
 
habar wanajf

kuna jamaa angu hayupo ktuon toka tareh 22 yupo halmashaur anafatilia kibal jana maafsa wametembelea shule ake baada ya kukagua daftar la maudhurio maafsa wameamulu apgiwe cm..baada ya kupgiwa cm kaambiwa aandke barua ya maekezo kwa nn hayupo ktuon

NB: ila jamaa kapata uhamisho afu DED bado hajazsign barua za kbal

anaomba ushaur kpi afanye kat ya kuandka barua au kuendelea kusubir kibal DED hayupo ila barua zpo

natangulza shukran
 
Mh! Hapo ni shida mi nipo kazini napiga mzigo kama kawaida maana barua mkurugenz hajasain bado.
 
Kama hajapokea barua hapo no Shea, cha msingi sense ajitetee kuwa anafuatilia uhamisho wake
 
naomba kujua ka vibari vimeisha anza kutolewa kwa walimu waliohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine.mwenye taarifa naomba anijulishe tafadhali
 
Vbal vmeisha tolewa na kilichobak hku ni mkurugenz kusain clearance. So fuatilia halmashaul
 
Vibali vimetoka muda, kuna mtu kaaliza kufunga na data sheet kesho asubh anakianzisha mwanza jiji
Njoo musoma dc mimi nije kilimanjaro wilaya yoyote arusha wilaya yoyote au tanga wilaya yoyote idara sec 0659873670
 
Njoo musoma dc mimi nije kilimanjaro wilaya yoyote arusha wilaya yoyote au tanga wilaya yoyote idara sec 0659873670
Mkuu kwani mie natafta wakubadilishana nae? Ha ha japo kwetu ni musoma lkn sirudi
 
Back
Top Bottom