Recent content by Maalim Chimpumu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Ntwara tunatangaza kupotelewa na rais nstaafu

    Bah!, nanshangaa sana Nkapa kukimbia kwao Ntwara!
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yasambaratisha CCM Iramba Mashariki

    Manjonjo meeengi!, Huna lolote! Weka picha tuonee,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri:demu wangu kajamba tulipo kuwa wawili hataki kuniona ananikwepa

    Hahahahahahahahhhh! mkuu umezingua!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sugu (Mbilinyi), lini utatekeleza ahadi ya computer na basi la wanafunzi wa sekondari?

    Mbona unakimbia mada mkuu, mada iliyopo hapa ni ile ahadi ya Computer na mabasi kwa ajili ya shule za sekondari aliyotoa Sugu! Majibu uliyotoa yanaonyesha jinsi upeo wako wa kufikiri ulivyo!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ni waziri bora wa karne hajawahi tokea na ana CV bora

    Kwa CV hii sijashangaa kwanini UKAWA wametoka bungeni,..Hawakuwa na pakutokea!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atema povu bungeni

    Mwigumu ndo muheshimiwa gani tena mkuu!??
  7. M

    JamiiForums Tanzania ( Photos ) Most Beautiful Female Politicians In Tanzania

    Namba 4 Katisha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri wa Fedha wa Kikwete

    Sasa Cha ajabu nini hapo!?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anna K. Malecela: Ole Sendeka kaa kimya utapewa hela na akina Maswi

    Utamwambiaje mwenzio mchafu ikiwa mwenyewe umejipaka kinyesi mwilini!?, Jisafishe kwanza ndo upate uhalali wa kukosoa!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe anaidai AIR TANZANIA 2bn

    Usiwe Condom, toa maelezo ya hayo madai ya Dj Mbowe!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Anna K. Malecela: Ole Sendeka kaa kimya utapewa hela na akina Maswi

    Mbona haukuhoji pale Dj Mbowe alipokacha ile ziara ya wabunge kule Marekakani na kuondoka na JOYCE MUKYA mbunge viti maalum(CDM) Kwenda Dubai kubanjuana KWA kODI YETU WANANCHi Ukianza unafiki ungali kijana uzeeni utakuwa Mchawi!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Anna K. Malecela: Ole Sendeka kaa kimya utapewa hela na akina Maswi

    Yafaa sana uungane na Isha Mashauzi na Khadija Kopa uimbe nao taarabu kwa mipasho hii unayoitoa!. Ya chama chako yanakushinda, unadandia ya CCM.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yaani natamani sana Lowassa angekuwa bado ni PM hadi leo!..

    Hakuna wa kumzuia Lowassa kuchukua kile kiti, hata mkuu wa kaya anatambua vizuri sana!
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM na Wapinzani nani mroho wa madaraka?

    Well said!
  15. M

    JamiiForums Tanzania CCM na Wapinzani nani mroho wa madaraka?

    Sio "mloho" ni MROHO. Rekebisha kichwa cha habari yako!
Back
Top Bottom