Mwigulu atema povu bungeni

Mwigulu atema povu bungeni

Mwigulu mwenyewe anahitaji kufundishwa adabu, maana hana nidhamu kabisa.
 
Hata jk kawafundisha adabu wengi sana akija mwigulu watahama nchi kabisa.
 
Alichosema mwingulu do ukwel,LISSU,WENJE,SUGU,MSIGWA NA MDEE,utake usitake hawarudi bugeni 2015,anaebisha abishe lkn 2015 ujaja mfukon

naona sembe linakuchanganya! Wasirudi kwa sababu kura unapiga wewe na mabuk 7 wenzio tu? Sisi ndo wapiga kura wa Wenje na tutampigia kura za kutosha!
 
du! hadi waropokaji nao watamani urais kweli afrika kuna watu wana ulevi wa madaraka!
 
Hii institution ya Urais hasa wa Tz imeaibishwa sana. Its like everybody can be a President. Wahi uende Kikwete nenda!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Anatema povu,porojo,anananga,Anasema wapinzani wana pepo,anasubiri 2015 atawatia adabu wapinzani!anasema anatamani aongoze nchi hii awafundishe watu adabu!Huyu mzima kweli,kuna bajeti ya kunanga upinzani au ya nishati

Uthamani wa nchi umeisha mpaka akina Mwigulu wanatamani kuitawala ili wawachape wenzao viboko hiki ni kituko ambacho hata mkoloni hakuwa nacho.
 
Akichangia sasa hivi mgwillu nchemba amesema anatamani kuwa rais wa nchi hii ili awafundishe watu ADABU....!
My take:
baba rizi ameidhalilisha sana taasisi ya urais sitashangaa kesho hata kalapina au dudu baya wakitangaza nia
Hawa watu Singida wana tatizo la kulewa sifa kama Geor davi Nape na Mwigulu.Anajiona amefika!!huyu ana majini na mapepo kwenye kila kiungo chake.Ndo sababu hawa niliowataja hawana adabu kabisa.
 
Anatema povu,porojo,anananga,Anasema wapinzani wana pepo,anasubiri 2015 atawatia adabu wapinzani!anasema anatamani aongoze nchi hii awafundishe watu adabu!Huyu mzima kweli,kuna bajeti ya kunanga upinzani au ya nishati

Mwigumu ndo muheshimiwa gani tena mkuu!??
 
Anatema povu,porojo,anananga,Anasema wapinzani wana pepo,anasubiri 2015 atawatia adabu wapinzani!anasema anatamani aongoze nchi hii awafundishe watu adabu!Huyu mzima kweli,kuna bajeti ya kunanga upinzani au ya nishati

Na spika akamwacha aongee huu ujinga?Basi hata huyo spika ana akili kama za Mwigulu.
 
Ni yale yale ya "Over my dead body"! JK ameufanya Urais uwe rahisi mno, kiasi kwamba hata Mwigulu sasa anaona anafaa kuwa Rais! SHAME!!!!

alfu kibaya zaidi anamzarau bosi wake ndo kutuambia ameshindwa kazi, hili jamaa sijui linajipaga mda wakufikiri kweli? aisee nchi tuna balaa hii
 
anadhihirisha jinsi Rais alivyo na busara kuliko yeye
 
Back
Top Bottom