Anna K. Malecela: Ole Sendeka kaa kimya utapewa hela na akina Maswi

Ndugu suala hili sio la uchama,

Hapa imeibiwa pesa ya umma na sio ya Lumumba

Mbona haukuhoji pale Dj Mbowe alipokacha ile ziara ya wabunge kule Marekakani na kuondoka na JOYCE MUKYA mbunge viti maalum(CDM) Kwenda Dubai kubanjuana KWA kODI YETU WANANCHi

Ukianza unafiki ungali kijana uzeeni utakuwa Mchawi!
 
Huyu ni yule Anna Kilango aliyepigilia msumari Richmond enzi zile. Leo hii ni kimya kama maiti. Anatumika kukuwadia ufisadi. Anajipendekeza asipoteze ubunge. Subiri 2015 si mbali.
 
Ole Sendeka kasema 'mama malecela alimfuata kwamba akae kimya atapewa hela na kina Maswi'

Nikuhusu wizi wa 200b za bot.
Yericko,wizi na ufisadi katika nchi ni sehemu ya maisha ya kila siku.
Wapiga kura wengi wako vijijini na ni maskini na kwa hali ya ukwasi ya Chama Tawala ni kuwa upinzani ujitahidi tu lakini it will take time.
Niko vijijini kwa zaidi ya mwaka nikifanya kazi wilaya tofauti,nimechanganyika na watu wa rika zote na ninachokiona ni kuwa wengi hawana msimamo na watafuata kile kitakachowaondolea shida.
Nimemkuta mtu anauza shamba lake lote (ekari kama 15) kwa 50000 kila eka na kiongozi mmoja alipojaribu kumuonya jamaa alipandisha na kudai anauza mali yake asiulizwe!!!! hiyo jamii yetu,tunawaza leo zaidi kuliko kesho.
 
Labda mnisaidie jamani,hzo hela mbona wasiibe wakaboresha afya na elimu? katika nchi yoyote duniani inayotaka maendeleo ktk kila sekta vipaumbele vikuu ni afya na elimu. Ila kwetu naona kama ni vya mwisho vile, hv serikali kula siku inapiga hela tuu, ccm wangetaka kukaa madarakani hata 100 yrs waboreshe hv vitu viwili, madaktari sasa hv wanaacha fani wanaamua kua wafanyabuss, walimu the same, hosp ukiacha dawa hata kitanda cha kulala hakuna, hv tunaenda wp jamani? Kwa nn hizo b 200 wasiibe wakaboresha hata? Ni kununua magari ya ml300 kweli? Si gari moja linatosha kununua vitabda na magodoro mh yote. Elimu ndio ipo shimoni, mtoto anamaliza chuo hata interview anaogopa kwenda, ataenda kujibu nn maana lugha hajui chochote, dunia ya leo kaburu ndo katawala kila ajira, si viwanda, si mabank. Mungu atunusuru maana tuendako ni kiza kinene. Chama changu ccm mnaangamiza taifa la baadae, acheni siasa jamani
 
Ole Sendeka kasema 'mama malecela alimfuata kwamba akae kimya atapewa hela na kina Maswi'

Nikuhusu wizi wa 200b za bot.

Watanzania mna matatizo sana, hapa hakuna suala la ufisadi ila ni maneno ya watu watafuta umaarufu tu. Bora mngekuwa mnauliza kuhusu kodi kama ilipatikana kipindi hawa jamaa akina PAP na VIP walipokuwa wanauziana hisa. Lakini kusema fedha za ESCROW zimeibwa ni uongo, kwani hizo hela zilikuwa za TANESCO au za IPTL? Kwanza TANESCO bado inadaiwa fedha capacity charges! mbona hili halisemwi? Suala la IPTL kununuliwa ni zuri sana kuliko kama mnavyofikiria. Habari ya Mama Kilango kumwambia Sendeka anyamaze haina mashiko maana naamini Sendeka hajui masuala haya kwani ni KIDU.

Tafakari...
 
Ole Sendeka kasema 'mama malecela alimfuata kwamba akae kimya atapewa hela na kina Maswi'

Nikuhusu wizi wa 200b za bot.

Just for curiosity, aliyasema hayo akiwa wapi? Au source ya habari hii ni nini/wapi? Poor Anna Malecela
 
image.jpg Unahitajika hapa kutoa ufafanuzi
 
Watanzania mna matatizo sana, hapa hakuna suala la ufisadi ila ni maneno ya watu watafuta umaarufu tu. Bora mngekuwa mnauliza kuhusu kodi kama ilipatikana kipindi hawa jamaa akina PAP na VIP walipokuwa wanauziana hisa. Lakini kusema fedha za ESCROW zimeibwa ni uongo, kwani hizo hela zilikuwa za TANESCO au za IPTL? Kwanza TANESCO bado inadaiwa fedha capacity charges! mbona hili halisemwi? Suala la IPTL kununuliwa ni zuri sana kuliko kama mnavyofikiria. Habari ya Mama Kilango kumwambia Sendeka anyamaze haina mashiko maana naamini Sendeka hajui masuala haya kwani ni KIDU.

Tafakari...

Hata lile shamba lilinunuliwa na mwekezaji akachukua mkopo,serikali ikamdhamini na akaiweka rehani ardhi,leo serikali ile ile inahaha kulirudisha shamba lile lile kwa lugha ileile,shabash!sasa sitoshangaa na hili pia kwambao kunuliwa kwa IPTL ni kuzuri.

Tanzania yangu kwanza Chama baadaye,maana CCM itakufa itaiacha Tanzania yangu ipo.
 
Back
Top Bottom