Matema Beach
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 364
- 68
Salaam ndugu Nape,
Kusema kweli mimi nimekuwa nikitatizwa sana na kauli/lugha ambayo wewe ndugu Nape umekuwa ukitumia dhidi ya wapinzani hasa CHADEMA.
Kila unapo hutubia wananchi umekuwa ukiwaambia wanachi wasiwasikilize wapinzani kwakuwa wapinzani ni waroho wa madaraka.
Kumbukumbu yangu inaniambia ccm imeongoza nchi zaidi ya miaka 51na mpaka sasa hakuna chama cha upinzani kimewahi kuongoza nchi hii CCM imeendelea kung'ang'ania madaraka sasa unapata ujasiri wa kusema wapinani ni waloho wa madaraka wakati ccm ndicho chama pekee kinacho ng'ang'ania madaraka?
Hivi chama kilicho madarakani kwa muda mrefu na ambacho ndio kwanza kinataka kuingia madarakani ni chama kipi kati ya hivyo ni kiloho cha madaraka?
TAFADHALI NAOMBA SANA UFAFANUZI WAKO KATIKA HILI.