Anna K. Malecela: Ole Sendeka kaa kimya utapewa hela na akina Maswi

MNAMBOWA

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
2,025
1,500
Ndio maana wote ccm ni uzao wa panya. Huyu Sada waziri na naibu wake Mwingulu nilisema waliteuliwa kwa kazi maalum sasa inaanza kuthibitika. Poleni watanzania. Dawa ni kuiondoa ccm madarakani

Tafuta hoja ingine ccm ni majembe kuliko mnavyofikiri, mtabashiri sana lkn mtaangukia pua tuu
 

Mjuni B

Member
May 17, 2014
85
95
Wanaanza kuumbuana wenyewe kwa wenyewe!! Hawa ni washirika wakuu kwenye kupiga dili- usiniulize source kwani sitakwambia!!

Zambi hii viongozi wa ccm haitawatoka hata mkafanyiwe maombi na mchungaji joshua mungu hata wasamehe.
Mmeiba bilioni 200.mkafrahi na familia zenu.mkasahau watoto wanakufa kwa kukosa hudusma hosptal.dawa hakuna,vitanda hakuna hosptalini.madawati hakuna mashuleni.walim hawalipwi.maji hakuna.huko vijijini ndo kabisa hata pando hawaijui.hapo mungua hayuko upande wenu.tena nawashangaa eti mnaenda kwenye nyumba za ibaba.wanafiki wakubwa acheni kuwatesa binadam wasiokuwa na hatia.
 

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,614
2,000
Sendeka nae ni KIAZI kama hao wengine.

HUYU BWANA ANAPENDA SANA PESA.

KITAMBI chake cha kula ovyo nyama kitamng'oa Simanjiro.
 

Maalim Chimpumu

Senior Member
Apr 29, 2014
125
0
Wanaanza kuumbuana wenyewe kwa wenyewe!! Hawa ni washirika wakuu kwenye kupiga dili- usiniulize source kwani sitakwambia!!

Yafaa sana uungane na Isha Mashauzi na Khadija Kopa uimbe nao taarabu kwa mipasho hii unayoitoa!.
Ya chama chako yanakushinda, unadandia ya CCM.
 

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,087
2,000
nafikiri ole sendeka hakuelewa maana ana zero form six a.k.a div five

sendeka ni mchumia kitambi
 

xenaxena

JF-Expert Member
May 20, 2014
2,237
1,500
Tafuta hoja ingine ccm ni majembe kuliko mnavyofikiri, mtabashiri sana lkn mtaangukia pua tuu
Kweli ccm ni majembe kwa kukwapua ardhi ya wandengereko ,wazaramo,ns wamatumbi ,fsnyeni kazi mkimaliza Dar,hamieni Lindi,Mtwara na Pwani kupiga dili,
Wakenya kwa kutujua tulivyo ndio maana maskini hata gari la KUB wetu lilizuiliwa,
Nawaonya chadema kama wabunge mtasahau kazi hii nzito mliyotumwa Mwenyezi Mungu atawahukumu ,wananchi tunawahurumieni mko wachache lakini kazi tunaiona,
Ccm chama cha madili,kimekosa legacy ya kutawala!, kilichobaki samaki mmoja akioza....
 

xenaxena

JF-Expert Member
May 20, 2014
2,237
1,500
Yafaa sana uungane na Isha Mashauzi na Khadija Kopa uimbe nao taarabu kwa mipasho hii unayoitoa!.
Ya chama chako yanakushinda, unadandia ya CCM.

Maskini umesahau chama chako ndicho bingwa wa kuteua ,viti maalum wamipasho,Khadija Kopa ubunge mlimtoa nn baada ya kumalizika nyimbo zake za hamasa ya " unachukua unaweka"?
Usiwadhalilishe chama chako kimeonesha njia,sisi wetu vifaa tizama luninga ,Leo ilikuwa kujua nani anafaa kuwa waziri wa nyumba na maendeleo!, kukaa UN si tiketi ya ufanyakazi bora!, system bwana!
 

kdc

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
638
250
Hongera Yericko unajua misukule inapenda kusikia nini.hawana shida ya kuhoji chanzo cha habari.Hongera zaidi kwa dr SLAA kufanya wanacha kua kama waumini wa dili kule kanisani hakuna kuhoji ni kusema ndio na kueneza ujumbe.Hongereni kwa kupata misukule ya kisiasa.Ni faida sana kwa chama kua na wafuasi MISUKULE.
 

xenaxena

JF-Expert Member
May 20, 2014
2,237
1,500
Tafuta hoja ingine ccm ni majembe kuliko mnavyofikiri, mtabashiri sana lkn mtaangukia pua tuu
Kweli ni majembe,kwa kutetea wizi,harafu SFO ,wanabaini wizi na rushwa kutembea kwenye kashfa ya RADA ,walipokaa bunge la uingereza na kuwashitaki washirika wa mpango huo,
sisi huku tulikuwa tukisema chenge hana doa na chini ya sauti ya Membe Mh.akasema hakukuwa na ufisadi,lakini kampuni ile iliposhindwa kesi na kuamuliwa kulipa cheji iliyosalia,Mh Membe huyohuyo anasema tunazitaka fedha hizo ili ziende kwenye mashule kununua vitabu!
Hadi wazungu wanatutetea?, wakati huo sisi tukishangilia kila aina ya uozo?,ama kweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom