Yaani natamani sana Lowassa angekuwa bado ni PM hadi leo!..

A4.

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
671
0
Mnaokumbuka ile first eleven wakati mh. Kikwete anaingia madarakani, wakati huo PM akiwa mh. Lowassa.

Wakati huo mambo yalikuwa yanaenda bhana! Hivi sasa muda unakaribia ukingoni, bado pengo la Mh. Lowassa halikuzibika. Wale waliokuwa wanakomaa nae, wengine ni mawaziri leo lakini na huo muda mrefu wamekaa kwenye wizara, hawajafanya mambo makubwa aliyoyafanya Lowassa kwa ule muda mfupi. Sijaona kitu kinachopimika walichokifanya:

nikianza na mh. Samuel, cjaona kitu kinachopimika alichokifanya.
Mh. Mwakyembe kidogo anataka kufufua reli lakini bado azma hiyo haijatekeleza kwa hiyo alichokifanya bado hakipimiki.
Lile baraza la mawaziri la awali lingekuwepo angalau tungekuwa mbali kidogo, na haya mambo ya ajabu ajabu cdhani kama yangekuwepo
'ukibadilibadili wachezaji katika mchezo huo huo, tegemea timu kufanya vibaya' wizara za kupokezana vijiti hazileti utendaji uliotukuka.
NAOMBA TUMUUNGE MKONO MH. LOWASSA KATIKA AZMA YAKE YA KUTUMIKIA WANANCHI KWANI ALIFANYA MAMBO MAZURI NA YANAYOPIMIKA.
nawasilisha.
 
amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,463
0
aya mkuu ila najua hayo ni maneno ya kusikia.
Sio ya kusikia ni ya uhakika. Akitaka kutoka pale kwake ngarash kufanya mazoezi ya kutembea japo mita chache anakuwa chini ya uangalizi wa daktari na mlinzi huku gari likimfuata ili akizidiwa aingie kwenye gari haraka sana kukimbizwa hospitali. Na mazoezi haya kama unapajua monduli anatembea mita chache sana kutoka ngarash kama unaelekea monduli juu.
 
BIG RESULTS NOW

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
673

Tutamchagua tu hata akiwa kitandani.....muhimu tunahitaji maamuzi magumu na discipline ya uwajibikaji.....kule Algeria rais alichaguliwa akiwa kwenye wheelchair itakuwa jemedari Edo????
 
BIG RESULTS NOW

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
673
0
Kinachonifurahisha hakuna mtu mwenye shaka na Edo kwenye eneo la utendaji ambalo kimsingi ni eneo tunalolihitaji watanzani kwa sasa.....saiv tumechoka mambo ya upembuzi yakinifu kuchukua miaka 5 wakati ni ishu ya miezi 3 au 4.....Tunamuhitaji Edo 2015
 
BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,455
2,000
Toa ukibaraka wako hapa,
Mnaokumbuka ile first eleven wakati mh. Kikwete anaingia madarakani, wakati huo PM akiwa mh. Lowassa.

Wakati huo mambo yalikuwa yanaenda bhana! Hivi sasa muda unakaribia ukingoni, bado pengo la Mh. Lowassa halikuzibika. Wale waliokuwa wanakomaa nae, wengine ni mawaziri leo lakini na huo muda mrefu wamekaa kwenye wizara, hawajafanya mambo makubwa aliyoyafanya Lowassa kwa ule muda mfupi. Sijaona kitu kinachopimika walichokifanya:

nikianza na mh. Samuel, cjaona kitu kinachopimika alichokifanya.
Mh. Mwakyembe kidogo anataka kufufua reli lakini bado azma hiyo haijatekeleza kwa hiyo alichokifanya bado hakipimiki.
Lile baraza la mawaziri la awali lingekuwepo angalau tungekuwa mbali kidogo, na haya mambo ya ajabu ajabu cdhani kama yangekuwepo
'ukibadilibadili wachezaji katika mchezo huo huo, tegemea timu kufanya vibaya' wizara za kupokezana vijiti hazileti utendaji uliotukuka.
NAOMBA TUMUUNGE MKONO MH. LOWASSA KATIKA AZMA YAKE YA KUTUMIKIA WANANCHI KWANI ALIFANYA MAMBO MAZURI NA YANAYOPIMIKA.
nawasilisha.
 
BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,455
2,000
Sema utamchagua na sio tutamchagua
Tutamchagua tu hata akiwa kitandani.....muhimu tunahitaji maamuzi magumu na discipline ya uwajibikaji.....kule Algeria rais alichaguliwa akiwa kwenye wheelchair itakuwa jemedari Edo????
 
A4.

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
671
0
Kinachonifurahisha hakuna mtu mwenye shaka na Edo kwenye eneo la utendaji ambalo kimsingi ni eneo tunalolihitaji watanzani kwa sasa.....saiv tumechoka mambo ya upembuzi yakinifu kuchukua miaka 5 wakati ni ishu ya miezi 3 au 4.....Tunamuhitaji Edo 2015

kweli kabisa mkuu'
 
A4.

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
671
0
Sio ya kusikia ni ya uhakika. Akitaka kutoka pale kwake ngarash kufanya mazoezi ya kutembea japo mita chache anakuwa chini ya uangalizi wa daktari na mlinzi huku gari likimfuata ili akizidiwa aingie kwenye gari haraka sana kukimbizwa hospitali. Na mazoezi haya kama unapajua monduli anatembea mita chache sana kutoka ngarash kama unaelekea monduli juu.

hivi fitina tu hamna lolote mkuu kajipange upya!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom