Labda waibe watengeneze barabara ili masemi yao waliyoyapata kifisadi yapite vizuriLabda mnisaidie jamani,hzo hela mbona wasiibe wakaboresha afya na elimu? katika nchi yoyote duniani inayotaka maendeleo ktk kila sekta vipaumbele vikuu ni afya na elimu. Ila kwetu naona kama ni vya mwisho vile, hv serikali kula siku inapiga hela tuu, ccm wangetaka kukaa madarakani hata 100 yrs waboreshe hv vitu viwili, madaktari sasa hv wanaacha fani wanaamua kua wafanyabuss, walimu the same, hosp ukiacha dawa hata kitanda cha kulala hakuna, hv tunaenda wp jamani? Kwa nn hizo b 200 wasiibe wakaboresha hata? Ni kununua magari ya ml300 kweli? Si gari moja linatosha kununua vitabda na magodoro mh yote. Elimu ndio ipo shimoni, mtoto anamaliza chuo hata interview anaogopa kwenda, ataenda kujibu nn maana lugha hajui chochote, dunia ya leo kaburu ndo katawala kila ajira, si viwanda, si mabank. Mungu atunusuru maana tuendako ni kiza kinene. Chama changu ccm mnaangamiza taifa la baadae, acheni siasa jamani