MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Rushwa wanazogawa magamba nyakati za chaguzi,kutumia dola kuchakachua matokeo na kung'ang'ania hii tume ya uchaguzi iliyoteuliwa na m/kiti wa mizigo ni dalili na ishara ya uroho wa madaraka.Ni nani asiyejua kuwa ccm wanang'ang'ania madaraka wakati wameprove failure? Nchi imewashinda wamebaki kulinda maslahi yao na mabwana zao tu!
Hizi ni porojo zenu. Na bahati nzuri tumeshazizoea hazitupi tabu kabisa. CCM inasonga mbele huku ikiwaletea watanzania maendeleo.