Naibu waziri wa Fedha wa Kikwete

Naibu waziri wa Fedha wa Kikwete

Bodaboda zisiende mjini. Alizani CCM hawapandi bodaboda?
 
hahaa.. jamaa unawazaga kama mimi yaani.. sio kila msomi..eti
.."sio kila ngombe anatoa maziwa"- wengine ni vtoweo tuuh!!
 
cha ajabu mkishindana nao mnapata kata tatu!
 
Hilo jamaa la boda boda kwanini lisizame nae kwenye semi?
 
kweli present determine the future!
kama alikuwa mchunga mbuzi,
unategemea nini kwa mtu kama huyo.
 
Tangia banyamulenge wake swahiba wake ZZK apigwe stop na CDM Mwigu hana tena la kusema juu ya CDM siri hazimfikii tena.
 
Back
Top Bottom