Recent content by M_kara

  1. M

    Natamani Kuona CCM Ikipasuka Kwa Mkutadha na Masilahi Mapana ya Tanzania

    Wakati ninaishi ughaibuni miaka kadhaa iliypiota, jirani yangu kutoka Kenya alinisimulia hali iliyokuwepo kisiasa nchini Kenya baada ya utawala wa Rais Moi na serikali yake kupitia chama cha KANU. Alinieleza hasira zilizokuwa kwenye mioyo ya wananchi kutokana na ufisadi wa viongozi wa serikali...
  2. M

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Ninacho kiona hapa unaleta mambo ya taaluma kwenye siasa. Any researcher anajua namna ya kupata publication ya fellow researcher. Wewe unakuja hapa JF, a social media, kutafuta kiki with a nonsense cause. Wake up. Not everybody hapa JF is stupid. Do yourself a good use of your time.
  3. M

    Hongera Makamu wa rais kwa kiingereza kizuri

    I just can't over the kind of people with this stupid mental belief that english is anything better. That's why a moron like this would like make us believe so.
  4. M

    Kikeke ambana Maalim Seif

    Unajipandisha level bure. Ushaona interview ngapi tangu umezaliwa? Probably hata kifurushi cha CNN huna. Kama umezoea imterview platform za akina A. Masako, then hii nadhani siyo size yako.
  5. M

    Kikeke ambana Maalim Seif

    How do you know kwamba Seif kaitwa BBC. What if Seif aliomba hiyo nafasi ya mahojiano ili aendeleze publicity yake. Alisha anza na VOA, sasa yuko BBC. By the way, anaye uliza swali ni mwandishi wa habari na anategemea ajibiwe kulingana na swali. Siyo issue ya ubabe na hotuba za kisiasa.
  6. M

    Mbatia: Hatujasusia bunge, tuna hasira na mtu ambaye hata jina lake siwezi kulitaja

    Hunijui, and therefore huwezi kunijudge. Ndo maana ukawaita wengine wote wajinga ndani ya JF kufikiri kama wewe. That is being subjective.
  7. M

    Mbatia: Hatujasusia bunge, tuna hasira na mtu ambaye hata jina lake siwezi kulitaja

    Andrew0079 Unahitaji kujitathimini wewe mwenyewe kama una aliki na uwezo wa kawaida - common sense. Unawezaje to question ability ya watu wengine kama unaamini kwamba kususia bunge (the people's house) kwa sababu ana hasira na mtu mmoja. And, you believe that's the best you can come up with...
  8. M

    Magufuli: Kuna mtu alikuwa anahamisha kati ya Tsh milioni 7-8 kila dakika. Yuko mikono salama...

    Quote au paste post yako yoyoye hapa ambayo ulishawahi kuandika a positive comment kuhusu "Huyu". Umejawa na kutu kichwani na rohoni. Unadhani ukitaja jina utamfaidisha mtu! You have angalao miaka 5 ya kusubiri, and by then hopefully utakuwa umepata akili.
  9. M

    Sababu zinaoifanya serikali kupoteza mvuto

    Bw. Mwita, ngoja nikwambie kitu poti. Hapo ndipo upinzani wa siasa wa sasa hivi unakosa hamasa. Kama unataka serikali ya mvuto labda subiri 2030 and beyond. Who cares about populism wakati watu wana kila aina ya matatizo majumbani, na wanatazama serikali angalao iwapunguzie mzigo. Watu wanataka...
  10. M

    Magufuli anapogeuka mtetezi wa mafisadi

    Like it or not hapa ni kuishiwa substantive argument. And Iam wondering, kwani kukaa kimya ni dhambi!!
  11. M

    Mwandishi Zanzibar atakiwa kukabidhi vibali vya uandishi wa habari

    Yeah, More freedom of press and speech to write about gossips and filthy journalism. Then, mnauza magazetu yenu mitaani kwa vichwa vya habari vyenye uongo, and the next day mnatoa press release to apologize for your own lack of ethics in your very own profession. Kwa kiswahili hawa wanaitwa...
  12. M

    Natamani Baraza la Mawaziri la Mh. JPM lingekuwa angalao na watu 10 tu mfano wa Prof. Mbarawa

    Tume Yabaini Ufisadi Mkubwa Bandari....Waziri Aagiza Wahusika Waachishwe Kazi na Wafikishwe TAKUKURU Serikali imebaini ufisadi mkubwa ndani ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) kutokana na kukamilika kwa kazi ya Tume iliyoundwa mahususi ili kuchunguza utendaji wa mamlaka hiyo, na imeagiza...
  13. M

    Alex Msama, Mmiliki wa Gazeti la Dira Amwangukia Mwakyembe na kumuomba radhi. Amtimua kazi Mhariri

    Walishauza gazeti mtaani kwa vichwa vya habari potofu in the name of politics. Ndiyo maana gazeti la Jamhuri linapongezwa na wasomaji for true investigative journalism. Limeandika matukio mengi na yote yana ushahidi na uchunguzi wa kutosha.:)
  14. M

    Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu, aelezea kusitishwa ajira za serikali

    Nashangaa umejuaje kuandika kwa sababu nahisi hukuwahi kwenda shule. Au labda umesaidiwa! Kama una uwezo wa kusoma post hii, basi ujifahamu you are an idiot. A moron at best trying to equate your tiny thinking in your little world.
Back
Top Bottom