Mbatia: Hatujasusia bunge, tuna hasira na mtu ambaye hata jina lake siwezi kulitaja

Sasa mtu mmoja ndio anaewaendesha mpaka waache majukumu yao ya msingi mara wazibe midomo mara manguo meusi mara wazire bunge. Huyo mtu kweli mmoja anawasababishia kuwa na hasira kiasi hiki.
Kweli siasa zetu ni za ajabu sana hizi.

mkuu asikuambie jamaa wanahasira na posho
asikudanganye mtu kama umeshaazoea kuchukua posho halafu inakata ghafla , lazima uwe na withrow syndrom
kama kwa siku mtu anachukukua 300000/= kwa mwezi ni karibia 8ml . na hiyo ni nje ya 11m .
 
Andrew0079
Unahitaji kujitathimini wewe mwenyewe kama una aliki na uwezo wa kawaida - common sense. Unawezaje to question ability ya watu wengine kama unaamini kwamba kususia bunge (the people's house) kwa sababu ana hasira na mtu mmoja. And, you believe that's the best you can come up with kwamba watu watajutia!! God forbid, lakini inatia kichefu chefu kusikia eti kunahitaji analysis hapa.
 
Ni muda mrefu sisi wazalendo tumekuwa tukijua kilichopo nyuma ya pazia kwa matendo na mbwembwe zinazofanywa na wanaojiita wapinzani.

Ukweli ni kwamba, vituko vyote vya wapinzani ni baada ya kugundua kuwa Kagame alikuwa anawatumia kama toilet paper wakati wa JK na sasa hana time nao.

Na kibaya zaidi ni kule kujua kuwa siri zote walizokuwa wakimpa Kagame dhidi ya serikali ya JK ambazo kisheria ni vitendo vya kigaidi, zimefichuka na zimekabidhiwa kwa JPM.

Kwa hiyo wanajua bila ya shaka kuwa it is just a matter of time they shall start to pay the price for their betraya.

Kwa hiyo wanachokifanya kwa sasa ni kutafuta sympath ya umma ili wakianza kushughulikiwa, wathibitishe kuwa JPM ni dikteta.
Wewe kijana, kagame ameingiaje Tanzania?
 
Sasa mtu mmoja ndio anaewaendesha mpaka waache majukumu yao ya msingi mara wazibe midomo mara manguo meusi mara wazire bunge. Huyo mtu kweli mmoja anawasababishia kuwa na hasira kiasi hiki.
Kweli siasa zetu ni za ajabu sana hizi.
Ulutaka wafanyeje?
 
mkuu asikuambie jamaa wanahasira na posho
asikudanganye mtu kama umeshaazoea kuchukua posho halafu inakata ghafla , lazima uwe na withrow syndrom
kama kwa siku mtu anachukukua 300000/= kwa mwezi ni karibia 8ml . na hiyo ni nje ya 11m .
Hawajaanza Jana wala juzi kukataa posho, rejea bunge la katiba.
 
Nadhani watu hamsomi hata historia za nchi nhinginezo ndo maana uwezo wenu wa kufikiri umeishia apo. Historia syo lazma uende secondary au chuo, soma vitabu, magazeti sikiliza radio TV na Internet muone amani kwa nchi zingine ilivobaki historia wajomba.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Hawa wapinzani wakiruhusiwa kufanya yao ndoo wanaweza kuiondoa Amani ya Taifa hili maana madai yao mengi ni yakisharishari tuu wanaforce mambo wanalazimisha kushida hatakama wameshidwa.kazi kubadilisha madai jana walidai hiki leo hiki kesho kile hawana wachokisimamia,wao kama wanataka kuichukua hii inchi waache tamaa wawena sera moja wanayo iamini mpoka sasa hawana katiba inayo waongoza ktk umoja wao mwenye nazo ndoo anasikilizwa kazi kukosoa udikteta wa Jpm wakati kwao hata Uhuru wa kuchagua hawana,wanatakiwa kujenga misingi imala ya demokorasia ndani ya vyama vyao kwanza ndoo waihubiri huko inje ya vyama,kingine upinzani umkoswa nidhamu hata kama mtu haumkubali basi mweshimu kwa madaraka aliyo nayo sio unasimama mbele ya kadamnasi unaanza kupolomosha mitusi tuu mwanzo mwisho
 
Kwahiyo chuki zake binafsi zipo juu ya haki za wananchi kupata uwakilishi? .... No nimesahau hata hao wananchi wanaoweza kumchagua awe mwakilishi wao nao hawaitaki hiyo haki so endeleeni tu na maigizo. Pongezi leo zimuendee mbunifu wa vazi jeusi.
Ukisema kwamba ccm imetufikisha hapa leo.. Kipindupindu karne 21, mishahara hewa duni, ufisadi mkubwa, umasikini wa wananchi uliokithiri... Elimu duni.. Mtz graduate hawaezi hata kujieleza tu yeye ni nani........ Utakuwa umekosea sana... Ni watu kama hawa, vipofu wasio jisumbua kutafakari na kuhoji mustakabari wa issues...... Walaaniwe wote wanafanya ushabiki wa kisiasa kana kwamba ni club za mpira...
 
Kwa hiyo ukimchukia mkeo unachukia na watoto? Wananchi wamekutuma bungeni uwawakilishe, wewe hasira zako kwa naibu spika unatuletea sisi,? Kweli Dr slaa alikuwa kichwa
Ni kwa sababu tu unalazimisha kutomwelewa Mbatia. Nini kigumu hapo kuelewa? Unataka kutuaminisha naibu spika pekee ndiye bunge la JMT? Ulitaka wampige mangumi Tulia ndio uwaelewe? Wao wamefanya ustaarabu wakaamua kutoka nje Tulia akikalia kitni dhahiri huyo mwananmke alikuwa na kazi maalum dhidi ya wabunge wa upinzani (kama utaamua kufikiri kwa uhuru lakini) , na wakashiriki vikao kiti kikikaliwa na mtu mwingine na wakatoa mfano kilipokaliwa na Chenge. Huelewei nini sasa?
 
Back
Top Bottom