Magufuli ashindana na Waziri Mkuu wa India kupiga ngoma Ikulu. Ni mbinu mpya ya kukaribisha wageni?

Rais John Pombe Magufuli amekuja na utaratibu wake wa ku relax na wageni ikulu baada ya shughuli za kisiasa zilizomleta ambapo yeye na mgeni wake hupigiana ngoma, hayo yameshuhudiwa jana baada ya waziri mkuu wa India kuja nchini ambapo rais Magufuli baada maongezi kilichofanyika ikulu ilikuwa ni kupigiana ngoma

Huu ni ukarimu, anamkaribisha muwekezaji. Kiboko hii hapa chini, mtu anakimbia nchi yake kwenda kubembea nchi za watu wakati Ikulu ina bembea pia, utoto bwana kweli raha yaani mpaka ukubwani.
11_09_hmaerh.jpg
 
View attachment 365377

Haaaaa Rais mzima mlitaka starehe zake zilingane na zenu, wivu wa kitoto kabisa, baada ya mkutano full kurelax. Big up JK. Stress free zone
 
Huyu mbembeaji ndiye alikuwa ni kituko kuwahi kutokea Afrik nzima. Eti unakimbia nchi yako kwenda kubembea na wavuta shisha.

Haaaaa Rais mzima mlitaka starehe zake zilingane na zenu, wivu wa kitoto kabisa, baada ya mkutano full kurelax. Big up JK. Stress free zone
 
Rais John Pombe Magufuli amekuja na utaratibu wake wa ku relax na wageni ikulu baada ya shughuli za kisiasa zilizomleta ambapo yeye na mgeni wake hupigiana ngoma, hayo yameshuhudiwa jana baada ya waziri mkuu wa India kuja nchini ambapo rais Magufuli baada maongezi kilichofanyika ikulu ilikuwa ni kupigiana ngoma

PURE NONSENSE.
 
Watu ma low income utawajua tu, saa zote kukaa na kufikiria mambo ya kipumbavu yasiyo na mbele wa nyuma, ndiyo maana mnashindwa kupiga hatua sehemu zenu za kazi kwa maana kichwani hamna kitu!
Kumbe jamaa alikuwa anafanya mambo ya kipumbavu
 
Mijitu isiyo na akili inachosha sana, imezoea kuambiwa kitu na kufuata,linapokuja suala la kufikiri inakuwa ishu! Eti na huyu nae alifikiri kwa uwezo wake wote akaja na huu uzi! Mkiambiwa huu mchezo hauhitaji hasira angalau basi mngeuliza kumbe unahitaji nini. Hasira zimewafanya waonekane mazumbukuku! Yaani ukiona Mmawia anakusapoti tu ujue wewe una matatizo ya akili
 
Naona kuna watu walitaka aende billcanas badala ya kuenzi mila na tamaduni
 
Mijitu isiyo na akili inachosha sana, imezoea kuambiwa kitu na kufuata,linapokuja suala la kufikiri inakuwa ishu! Eti na huyu nae alifikiri kwa uwezo wake wote akaja na huu uzi! Mkiambiwa huu mchezo hauhitaji hasira angalau basi mngeuliza kumbe unahitaji nini. Hasira zimewafanya waonekane mazumbukuku! Yaani ukiona Mmawia anakusapoti tu ujue wewe una matatizo ya akili
Mmmmhh bendela fata upepo haya nawe wa wapi?
 
Aliyepita mlisema wadisco huyu anapenda ngoma nae maneno kwani uraisi ni kujinyima kile kikupacho furaha bila kuathiri wengine?
 
nimecheka mpk mbavu zauma!! waziri wa India anapiga ngoma kama sharukh khan then our father naona anapiga sikinde akichanganya na baikoko
 
Back
Top Bottom