Mbatia: Hatujasusia bunge, tuna hasira na mtu ambaye hata jina lake siwezi kulitaja

Unahitaji kujitathimini wewe mwenyewe kama una aliki na uwezo wa kawaida - common sense. Unawezaje to question ability ya watu wengine kama unaamini kwamba kususia bunge (the people's house) kwa sababu ana hasira na mtu mmoja. And, you believe that's the best you can come up with kwamba watu watajutia!! God forbid, lakini inatia kichefu chefu kusikia eti kunahitaji analysis hapa.
Your comment is too subjective, I can't even try to think on it because your so weak In arguments you post always.
 
Wabunge wote, awe wa CCM au wa Chadema au wa CUF, wamechaguliwa na kupelekwa bungeni KUWAWAKILISHA WANANCHI.

Sasa wao wameenda na kuanzisha ugomvi binafsi na Naibu Spika wakati wananchi hatujawatuma wakaanzishe ugomvi. hilo ni tatizo lao na ugomvi wao na naibu spika hauwahusu wananchi hata wakose uwakilishi wa wabunge wao. No excuse katika hili walilolifanya, ugomvi wao na naibu spika hauwahusu wananchi.
 
Mbatia kaa ukijua Sisi hatukuwatuma mkawe watoro bungeni, Kiama chenu kinakuja 2020
 
Wmtu aipokuwepo
Kwa hiyo ukimchukia mkeo unachukia na watoto? Wananchi wamekutuma bungeni uwawakilishe, wewe hasira zako kwa naibu spika unatuletea sisi,? Kweli Dr slaa alikuwa kichwa
Mtu aspokuwepo ukawa ndo bora kwa iyo unataka kzbtsha upinzan mtu bora ni dr slaa
 
Kwahiyo chuki zake binafsi zipo juu ya haki za wananchi kupata uwakilishi? .... No nimesahau hata hao wananchi wanaoweza kumchagua awe mwakilishi wao nao hawaitaki hiyo haki so endeleeni tu na maigizo. Pongezi leo zimuendee mbunifu wa vazi jeusi.
Imetulia sana!
 
Your comment is too subjective, I can't even try to think on it because your so weak In arguments you post always.
Hunijui, and therefore huwezi kunijudge. Ndo maana ukawaita wengine wote wajinga ndani ya JF kufikiri kama wewe. That is being subjective.
 
Hunijui, and therefore huwezi kunijudge. Ndo maana ukawaita wengine wote wajinga ndani ya JF kufikiri kama wewe. That is being subjective.
Ok. BY THE WAY MSIMAMO WAKO UKO UPANDE GANI??? MLENGWA WA KUSHOTO AU KULIA BROTHER????????
 
Mungu anisamehe! Simpendi NS anatumika kukandamiza demokrasia...na yeye anajitoa akili.....kama zuzu kuangamiza wananchi sababu ya njaa zake!! Hata Mungu hata mbariki na ulokole wake fake! Ulokole wa kukosa watoto.....!!
 
Back
Top Bottom