BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,328
Mwandishi wa habari wa kujitegemea kisiwani Pemba, Zanzibar, Ahmed Juma, ambaye amekuwa akiripoti pia kwa niaba ya Deutsche Welle hivi leo ameitwa na kutakiwa kukabidhisha kibali cha kufanyia kazi zake za uandishi wa habari kwa Idara ya Habari kisiwani humo, huku mamlaka zikikataa kusema sababu halisi za kuchukuwa uamuzi huo.