Recent content by M2 Makini

  1. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua tambi, karanga za mayai, krips na ubuyu kwa jumla

    Nipo Dar
  2. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Mihogo ya kukaanga (crispy)

    Na crisp zinazofungwa kwenye vifuko laini hupikwa kwa style hiyo??
  3. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua tambi, karanga za mayai, krips na ubuyu kwa jumla

    Habari nataka kununua kwa bei ya jumla tambi za dengu,Karanga za Mayai,ubuyu mzuri(vinto),krips aina zote (viazi,mihogo,ndizi)wapi naweza kupata tafadhari
  4. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Tecno c8 ina wiki tu tangu niinunue toka dukani nauza kwa 250
  5. M2 Makini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye Ndevu. Tuelimishane

    Mwe kumbe sio walemavu wa viungo na wadada wenye watoto tu ndio wanaobagulia kumbe hata wadada wenye ndevu pia hua wanabagulia mmh Yesuuu rudi baba tunaangamia
  6. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kitanda cha mtoto

    Ahsante mkuu nimekuelewa.
  7. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kitanda cha mtoto

    Habari,kwa yeyote anaeuza/anaefahamu wapi naweza kupata kitanda cha mtoto wa miaka 3 used/new kwa elfu 50 nahitaji tafadhari..
  8. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Tuwasaidie wadogo zetu wanaomaliza vyuo internships/ku-volunteer s

    Mi nimetafuta internship hadi naanza kukata tamaa mwaka wa pili sasa
  9. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Condition yake ipoje tuma na picture
  10. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

    Duh mwenzetu ushakua maarafu jf kwa kutaja jina la MSHANA JR tu,kesho na Mimi naanzisha uzi wangu kwa kutumia jina hilohilo maana hakuna namna[emoji4] [emoji4] msiniangushe kwa comments zenu wadau
  11. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Nauza Huawei Y300 kwa bei ya kutupa

    Umeitumia kama mwaka hivi we, Uliinunua bei gani?
  12. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Kaa mbali na huyu tapeli KIM2

    Pole sana mkuu,ila unamuamini vipi mtu usie mjua?angemleta ndio umpe hela halafu ni vyema ungeenda kumfata huko bagamoyo ili kufahamu mschana anatokea wapi na wazazi au jamaa zake ungewajua hata tatizo lolote likijitokeza unajua pakuanzia,kama muda ni tatizo ungetafuta mtu aende amfate.cha...
  13. M2 Makini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua: Mirathi ya Kaka

    Itaendelea Mwaka gani?
  14. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Vipi nikikuagizia original kutoka China
  15. M2 Makini

    JamiiForums Tanzania Inashangaza lakini ndio jinsi ilivyotokea, atolewa viungo vyote vya mwili kabla ya kuzikwa

    Mtu akifa viungo vyake i.e moyo hua na uhai?
Back
Top Bottom