Habari wakuu, ninauza huawei tajwa hapo juu.
-Imetumika kwa miezi 10
-Ipo ktk hali nzuri kabisa
-Ni simu Original
-Nakupa na Chaji yake niliyonunulia
-Ni simu yangu Binafsi wala si ya mtu wala si ya wizi
Uwezo wa simu
-Ina 3G
-Inatumia mitandao yote
-Kioo chake ni Nchi 4.0
-Mambo mengine unaweza ukasearch Google, ukishindwa niulize hapa hapa.
Bei ni 120,000.
Karibuni sana!!!