Inashangaza lakini ndio jinsi ilivyotokea, atolewa viungo vyote vya mwili kabla ya kuzikwa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,814
34,196
respect.jpg

respect
Mwili kwenye toroli la wagonjwa uliozungukwa na madaktari ni wa mtoto mwenye umri wa miaka 11 aitwae Liang Yaoyi tokea China. Utaelewa kwanini madaktari wameuzunguka kama wakiusudujia.

Liang alikuwa na ndoto za kuwa daktari atakapokua mkubwa, bahati mbaya ndoto yake haijaweza kutimia kwani alifariki kwa ugonjwa uitwao kitaalamu "Brain Tumor".

Ila kinachoshangaza ni kile alichowaambia wazaz wake kabla hajafariki, kwamba kama hatopona na kufariki viungo vyake "organs" i.e heart transplant, vitolewe na kupewa wale wenye uhitaji ili wapate kuishi. Alisema wapo watu wengi wamefanya mambo mema na mazuri duniani na yeye anataka kuwa mmojawapo.

Madaktari wanasema walishangazwa na ujasiri wa Liang, katika taaluma yao ya utabibu hawajawahi kukutana na hali kama hiyo. Kwanini wasitoe heshima inayomstahili?

Katika picha ni madaktari wakionesha heshima zao za mwisho kwa mwili wa Liang kabla ya kumpeleka chumba cha upasuaji ili kumuondoa baadhi ya viungo kama alivodai yeye mwenyewe. Na baadae mwili ungekabidhiwa kwa wazazi wake kwa ajili ya mazishi.

Imagine ni jinsi gani mtoto wa miaka 11 anafahamu kuwa anakufa na bado anafikiri ni jinsi gami ataweza saidia wengine. Kwanini binadamu wa kileo tusiwe na upendo japo nusu ya huu wa Liang kwa wengine?

Me nafikiri sifiki hata nusu ya huo ujasiri alionao Liang. Bila shaka na wewe mwenzangu. Hivyo basi kama na mimi ningeuona mwili wake ningeupa heshima kama hao madaktari walivofanya.

Inashangaza eti.
 
Maaajabu! !!!MTOTO WA MIAKA 11 ALIPO ONYESHA USHUJAA WA AJABU SIKU CHACHE KABLA YA KIFO CHAKE SOMA HAPA LIVE!!


daktari.jpg


"Mwili kwenye toroli la wagonjwa uliozungukwa na madaktari ni wa mtoto mwenye umri wa miaka 11 aitwae Liang Yaoyi tokea China. Utaelewa kwanini madaktari wameuzunguka kama wakiusudujia.Liang alikuwa na ndoto za kuwa daktari atakapokua mkubwa, bahati mbaya ndoto yake haijaweza kutimia kwani alifariki kwa ugonjwa uitwao kitaalamu "Brain Tumor".

Ila kinachoshangaza ni kile alichowaambia wazaz wake kabla hajafariki, kwamba kama hatopona na kufariki viungo vyake "organs" i.e heart transplant, vitolewe na kupewa wale wenye uhitaji ili wapate kuishi. Alisema wapo watu wengi wamefanya mambo mema na mazuri duniani na yeye anataka kuwa mmojawapo.Madaktari wanasema walishangazwa na ujasiri wa Liang, katika taaluma yao ya utabibu hawajawahi kukutana na hali kama hiyo. Kwanini wasitoe heshima inayomstahili?

Katika picha ni madaktari wakionesha heshima zao za mwisho kwa mwili wa Liang kabla ya kumpeleka chumba cha upasuaji ili kumuondoa baadhi ya viungo kama alivodai yeye mwenyewe. Na baadae mwili ungekabidhiwa kwa wazazi wake kwa ajili ya mazishi.

Imagine ni jinsi gani mtoto wa miaka 11 anafahamu kuwa anakufa na bado anafikiri ni jinsi gami ataweza saidia wengine. Kwanini binadamu wa kileo tusiwe na upendo japo nusu ya huu wa Liang kwa wengine?Me nafikiri sifiki hata nusu ya huo ujasiri alionao Liang. Bila shaka na wewe mwenzangu. Hivyo basi kama na mimi ningeuona mwili wake ningeupa heshima kama hao madaktari walivofanya.

Inashangaza eti."
 
Rest in peace Liang Yao Yi
1469981450154.jpg
una karama nyingi kuliko wachafu wanaoomba kuombewa kila uchao
 
Back
Top Bottom