Mkuu, tupe darsa la utengenezaji wa potato chips (klips kama tunavyoziita) tafadhalukiwa tyar mi nakutengenezea zote hizoo!!
Kata viazi kwa machine ya crips ,anika juani tia kwenye mafuta vikiiva epua nyunyiza chumvi au pilipili . acha zipoe tayari kwakulaMkuu, tupe darsa la utengenezaji wa potato chips (klips kama tunavyoziita) tafadhal
Penda sana iyo kitu
Hiyo mashine inapatikana duka gan mkuu, na bei ganiKata viazi kwa machine ya crips ,anika juani tia kwenye mafuta vikiiva epua nyunyiza chumvi au pilipili . acha zipoe tayari kwakula
UkwapiHabari nataka kununua kwa bei ya jumla tambi za dengu,Karanga za Mayai,ubuyu mzuri(vinto),krips aina zote (viazi,mihogo,ndizi)wapi naweza kupata tafadhari
sehemu gani kariakoo mkuu pia vile vifungashio vipiUkienda sabasaba utazikuta nyingi mabanda ya wakenya wanatoaga demo jinsi ya kutumia hata kariakoo zipo nyingi.bei nazani 20-40 elfu
Unavianika vinyauke kabisa ama vitoke maji?Kata viazi kwa machine ya crips ,anika juani tia kwenye mafuta vikiiva epua nyunyiza chumvi au pilipili . acha zipoe tayari kwakula
Kuhusu Krips unaweza ukatengeneza mwenyewe mana visu vya kukatia vinauzwa maduka ya utensilsHabari nataka kununua kwa bei ya jumla tambi za dengu,Karanga za Mayai,ubuyu mzuri(vinto),krips aina zote (viazi,mihogo,ndizi)wapi naweza kupata tafadhari
Upo wap?karibu ubuyu uliokuwa tayari kg 2000
Upo wap?[/QUOTE
Kimara
Karanga za mayai Bei ya jumla na rejareja zinapatikana kwa mliopo dar es salaam karibu 0659532998Habari nataka kununua kwa bei ya jumla tambi za dengu,Karanga za Mayai,ubuyu mzuri(vinto),krips aina zote (viazi,mihogo,ndizi)wapi naweza kupata tafadhari