Recent content by M12

  1. M12

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria. Nilivamiwa, nikajeruhi

    Kiufupi ni hivi nilivamiwa njiani kwa sababu nadaiwa na microfinance Moja ambayo mahakama tayari iliamuru nilipe deni Hilo mwezi 6 lakini kabda ya huo mwezi kufika nilikutana na mmoja wa hiyo microfinance akawapigia simu wenzake mawili wakaja eneo ambao nipo, wakataka kunipora funguo ya pikpiki...
  2. M12

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria. Nilivamiwa, nikajeruhi

    Nilivamiwa na watu wawili wakanikaba nikatumia kitu chenye ncha kali kumjerui mmoja, niliwahi polisi kutoa taarifa ya kuvamiwa, siku ya pili naambiwa kesi imegeuka upande wangu kwa sababu aliyenivamia ndiye aliyeumia sana, kesi sahivi ipo mahakamani, nafanyaje kutoka kwenye hii kesi.
  3. M12

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kisarawe-Pwani, Nauli elfu Mbili tu mpaka DAR, Nije Songea Manispaa-Ruvuma, idara Elimu Msingi, 0716919553
  4. M12

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na Mimi hivyo hivyo Leo siku ya tatu, kwenye stutus Kuna deshi tu nashindwa kuwaelewa Kuna njia ya kuwasiliana nao ukiacha na zile za kwenye app yaani namba za simu ukaongea nao
  5. M12

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ina maana gan hii option ya any team to score 3 or more goals in row
  6. M12

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Songea Manispaa nije Morogoro wilaya yeyote IDARA SEKONDARI
  7. M12

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO SONGEA MANISPAA NIJE MOROGORO MANISPAA IDARA SEKONDARI.
  8. M12

    JamiiForums Tanzania Mwili kuhisi kuwaka moto inaweza ikawa dalili ya ugonjwa Gani?

    Habari Wana jukwaa! Kuna Binti anapitia changamoto ya mwili wote kuhisi maumivu ya kuwaka moto muda wote, miguu kuuma, mikono kushika ganzi na mabega kuumia lakini pia na meno yanamuuma ivyo vyote anavihisi Kwa pamoja, inaweza ikawa dalili ya ugonjwa Gani?
  9. M12

    JamiiForums Tanzania Movie Bora za Kihindi kwa muda wote

    Dhadkan bonge la movie
  10. M12

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mei Mosi ya Mwaka huu 2023 Haina Shamrashamra?

    Isiwepo tu Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
  11. M12

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Natafuta chimbo la jeans za kiume na bei zake zikoje, ambazo wengi huziuza kwa bei ya elfu25 kwa kila moja.
  12. M12

    JamiiForums Tanzania Security code ndio ipi?

    Na mimi nahitaji kufahamu security code ni ipi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M12

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kudumu la manunuzi ya AliExpress na Alibaba

    Security code ni ipi ukifanya malipo kwa visa master card Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M12

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    Ndo nilichomaanisha hiyo SMS inaonekana kwa sekunde kama tatu asipokuwa anaangalia inaweza kumpita akajua bado kumbe tayari asha upload. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M12

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom