Mwili kuhisi kuwaka moto inaweza ikawa dalili ya ugonjwa Gani?

M12

Member
Jan 21, 2015
59
23
Habari Wana jukwaa! Kuna Binti anapitia changamoto ya mwili wote kuhisi maumivu ya kuwaka moto muda wote, miguu kuuma, mikono kushika ganzi na mabega kuumia lakini pia na meno yanamuuma ivyo vyote anavihisi Kwa pamoja, inaweza ikawa dalili ya ugonjwa Gani?
 
Ushauri nafuu ni bora mfike hospitali kwa wataalamu na vipimo zaidi!!

Hapa kuna mabishoo watakuja sema hizo ni dalili za mimba!!
Wengine watadiriki kusema kalogwa, uwa pm wanajua tiba 😃
 
Itakuwa moja ya disc ya uti wa mgongo imehama mahali pake.
N
Mimi sina taaluma ya udaktari...ila ni uzoefu wa kujisomea hali hiyo ngoja madaktari waje
 
Habari Wana jukwaa! Kuna Binti anapitia changamoto ya mwili wote kuhisi maumivu ya kuwaka moto muda wote, miguu kuuma, mikono kushika ganzi na mabega kuumia lakini pia na meno yanamuuma ivyo vyote anavihisi Kwa pamoja, inaweza ikawa dalili ya ugonjwa Gani?
Sukari...ukapime
 
Binti ndio umwajiri kutoka kijijini au? Kuna wengine mizimu haitaki afanye kazi ....KIKUBWA wahi hospitali mpate vipimo ..usitegemee sana hapa
 
Back
Top Bottom