Security code ndio ipi?

HFOOO

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
683
643
Habari ya usiku huu wanajamvi, kwa wale ambao mnafanya manunuzi mtandaoni hasa kwenye site ya Aliexpress, Kuna kitu unatakiwa kukiweka hapo unapoingiza details ya kadi, hichi kitu ni security code je ni kitu gani? Naomba msaada wapendwa.
 
  • Thanks
Reactions: M12
Habari ya usiku huu wanajamvi, kwa wale ambao mnafanya manunuzi mtandaoni hasa kwenye site ya Aliexpress, Luna kitu unatakiwa kukiweka hapo unapoingiza details ya kadi, hich kitu ni security code je ni kitu gani? Naomba msaada wapendwa
Kwenye kadi yako kuna mahala pameandikwa CVC kuna tarakimu zimeandikwa mbele yake. Jaza hizo, namba ya kadi, na tarehe ya mwisho wa matumizi unamaliza na enter au ok.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ya usiku huu wanajamvi, kwa wale ambao mnafanya manunuzi mtandaoni hasa kwenye site ya Aliexpress, Kuna kitu unatakiwa kukiweka hapo unapoingiza details ya kadi, hichi kitu ni security code je ni kitu gani? Naomba msaada wapendwa.
Nyuma ya Kadi yako
Screenshot_20200204-154505.png
 
Back
Top Bottom