Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 478
- 962
Wasalam mabibi na mababu...
Kila nikivuta kumbukumbu zangu vizuri mwaka jana tarehe hizi mwezi wa nne kulikuwa na hamasa kubwa sana juu ya siku adhiimu ya wafanya kazi-Mei Mosi.
Kipindi kama hiki kulikuwa tayari ;
1. Kushafahamika mkoa utakaofanyika Mei Mosi kitaifa.
2. Mavyama ya wafanya kazi yalishaanza kugawa t-shirt kwa wanachama wao.
3. Kauli mbiu ya Mei Mosi "Maslahi Bora, Mishahara Juu, Kazi iendeleee" hii kauli mbiu ilitembea mitandaoni na katika makundi yote ya wafanya kazi.
Je huu mwaka 2023 kulikoni mbona kupo kimyaa sana yani ata mkoa utakaofanyika maadhimisho kitaifa hadi sasa hatujui!! Ata kauli mbiu ya mwaka huu 2023 mpaka sasa hatujui na haijavuja kweeli!!!
Mbona viongozi na waandaaji wamekata tamaa mapema hivi au ndio wanawaza ile asilimia 23% ilivyofanywaa!!!!