Recent content by m-boy

  1. m-boy

    Nani atamfunga paka kengele?

    Habari wana zengo, Ninatumai tupo salama tunaendelea vizuli. Ukiwambiwa ukubwa jalala ndio hii sasa. Hapa nina kesi mbili kubwa. Mzee juma alikuwa na mke na wakabatika kuzaa watoto 5 baadae wakaja achana, mzee juma na mkewe walikuwa wanafanya kazi selikarini. Baada ya miaka mingi kupita mzee...
  2. m-boy

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Huyu amachanganya mambo, kuna uchawi wa kuloga na uchawi wa mazingaombwe, Ikiwa unaamini dini lazima uukubali uchawi kwa maana ktk biblia matendo ya mitume inasema,, Hapo mwanza mtu mmoja alikuwa akifanya mambo ya kichawi, mtu huyo ni muyahudi tena nabii wa uwongo na jina lake ni simioni...
  3. m-boy

    Anataka kuanzisha biashara ya kuuza nafaka, anaomba ushauri

    Kama una pesa na tayali tafuta eneo ambalo lina msongamano mkubwa wa watu, kisha tafuta chumba anza biashara, kisha nenda TRA, Zingatia kama umepanga flem ya zaid ya sh 80 eflu ule mkataba usiende nao kule kwenye makadilio ya kodi tafuta au tengeneza mkaba mwingine feki ambao kodi isome sh 30...
  4. m-boy

    Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...

    Yaani hili ni gumu sana kiwanja kinauzwa kwa watu zaid ya 3 na mjumbe , mwenyeki ma mtendaji wote wanahusika na risiti unapewa
  5. m-boy

    Kauli tata alizowahi kuniambia huyu binti

    Nimerudia kusoma mara mbili mbili , nimegundua kuwa hii ina zaida miaka kadhaa iliopita jamaa amekuja tu kutupa habari za zamaniiii
  6. m-boy

    Ushauri: Ndugu wameharibu ndoa ya dada yangu

    Kwanza,aache kunyonya ndio ataacha utoto, kuna kipindi unatakiwa uzibe masikio, wakati wako wa kusuisha ulishapita, fanya yako
  7. m-boy

    Inauma sana na haivumiliki

    Pole kwa mapito kipenzi, Njoo mp nikuelekeze kitu ambacho kitakuwa salama kwako na bila kumuumiza mtu
  8. m-boy

    Kwa wanaume /wanaume

    Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke mfupi, yaani ilikuwa balaaa mm nishazoea kisu ndani ya ala huku ninanyonya ziwa lkn ile kisu kikiwa mpili kichwa chake nikakuwa kifuani kwangu nikitaka kunyonya itabidi nichomoe kikweli nilishindwa
  9. m-boy

    Sipendagi muziki wa Reggae ila Lucky Dube alikuwa mnyama

    Sema kipindi anaimba lucky utandawazi ulikuwa mkubwa sana ndio maana huyu mwamba anaonekana bora sana,lkn bob alikuwa mkali kwa,wakati wake
  10. m-boy

    Ninataka kufanya biashara ya kununua mchele Morogoro

    Usiende kunua mchele moro nenda sehemu nyingine, kwa sababu, moro ushulu gunia moja la kilo 1000 ni sh 3000 tena hii ilikuwa bei ya zamani inaweza kuwa imepanda, Ukitoa mchele mang'ula au ruaha kilo moja ni sh 10 usafili, kupakia gunia 700 kushusha gunia,1000, chukua ushuru ,3000 +...
  11. m-boy

    Ni ipi hasa sababu ya Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi kirefu hivi?

    Ungekuwa unamawazo mazuli ungepamba na hili kwanza Selikali imetutangazia bei elekezi ya sukali kilo sh 3000 lkn wafanyabiashara hajajua wapi watanunua sukari kwa bei elwkezi ili waje kuuza kwa sh 3000 kwa maana selikali iwaambie mkanunue sukali mahali fulani, Ukikutwa nayo sukali na unauza...
  12. m-boy

    Elimu ya chuo kikuu imekuwa kama msahafu, inadumaza mawazo mapya maprofesa wetu huko vyuoni hawana utofauti na wachungaji

    Bwana mdogo usije tena kulinganisha elimu yako ya kuunga unga hiyo na vitabu vya dini haijalishi cha dini gani, Ni vema ulete mjadawa wa dini ili watu wauchambue kuliko kuleta hiki , hivi unaunua msaafu vizuli?? Usaafu umeandikwa kwa lugha ya kiarabu ambayo ndio lugha bora duniani yenye...
  13. m-boy

    Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

    Usipojiongeza unaishia kuchukua sheria mkononi, mwanamke anawezaa kaa hata miezi kadhaa bila kufanya tendo lkn kwa mwanamme ambae ameiwai kufanya tendo na anakula vizuli na hana tatizo lolote la kiafya hawezi kukaa mwezi. Labda awe sehem ambayo hakuna wanawake, sasa kaa na sema mwanamke...
  14. m-boy

    Wanawake na mikopo

    Siku moja nilikwenda kuchukua pesa dukani kwa mteja wangu, sasa pale dukani kuna ofc ya mikopo ya sokoni, yaani wale wakopeshaji wanajiita sokoni, sasa kuna mdada alikuwa hana rejesho ,wakasema wanaenda kumfilisili aisee ilikuwa ni balaa yule dada ana kilo kama 130 bonge akasema aletewe usafili...
Back
Top Bottom