Wengine ni wavivu wa kuongea na kumwelekeza mtu mzima jambo analopaswa kuwa analijua kabla ya kuingia kwenye mahusiano hivyo ndiyo maana huwa mnaachwa kimya kimya
Heeeee mdada hiyo reseach yako umeifanya kwa Muda gani? Na magonjwa yalivyo mengi baada ya kukamilisha zoezi lako ulichunguza afya yako?
Haya tumekusikia.
Kwa akili yako ulitaka nikujibu vipi? Mbeya ni yupi kati ya aliyesoma akahisi inamuhusu na kujifanya anajua kiasi cha kutolea maelezo au aliyeandika kile anachokifahamu?
mbona unamaneno ya kimbea sana kwani wewe ni mliberali?
Usiku ilikuwa ni msg za diha, hani mai habi asubuhi kulipokucha yapata saa sita mara msg inaingia '' it's over between me and you" nilichoka college ikawa chukua siku hiyo
Option1
Nikamtafuta Rafiki yake nikajilizaliza Pale na kwakuwa ananinijua mimi ni mtu Poa akanishauri meng mpaka akanionea...
Mkuu sio mimi ila ni mwana JF mwenzetu ndio alitupa hii dawa formula yake ni juice ya kitunguu maji kijiko kimoja + samli kijiko kimoja + asali mbichi kijiko kimoja unachanganya alafu unakunywa kutwa mara mbili mkuu,tena mkuu hata matatizo ya kupata choo kwa sasa sina.
Unatumia kwa Muda gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.