mimitungi
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 738
- 261
WANAUME NI KAMA PAKA, hata umuwekee bili ya steki buchani akiona panya atakimbiza tu....
Umenena ndugu yangu, mwanaume anaweza kupewa mambo mengi sana anayoyahitaji lakini cha ajabu utakuta huyo na mwanamke mwingine.
Hii ni tabia ya mtu, kwa mwanaume anayempenda mke wake na kuipenda familia yake hawezi kuona suluhisho ni kwenda nje ya mahusiano. Wanaume tujifunze namna ya kukaa na wake zetu ikishindikana bora umweleze ukweli na ikibidi mpe talaka ukachukue mwanamke mwingine unayedhani atakupa utakacho kuliko kucheat na kumweka roho juu mwenzio.