Mbona wameachana

Mbona wameachana

mliachana wakati bado unampenda na Unaishi na kimvuli chake bado!!kuna uwezekano mkubwa ukaomba nafasi nyingine

Na hasa ukizingatia bado niponipo. Lakini hilo kwa sasa hapana. Tunapeana nafasi ya kila mmoja kujitafakari.
 
Mtu B move on braza, wasingeachana ungetuletea uzi kwamba ulikosea kutabiri?
 
Last edited by a moderator:
Pole mzaz kama limekuuma.

unatia aibu mwanaume mzma unakuwa kihelehele kufuatilia ndoa za watu........... Unachekelea kuvunjika kwa ndoa za watu?! Subir na ww linakungoja hlo
 
mmmhhh
ndoa hizi za ckuhiz, mambo ya kukurupuka haya
ona ss mtt anaanza kulelewa na mzazi mmoja

Kwakweli mimi simlaumu kwa hilo. Ninavyomfahamu, si mwepesi wa kutaka jambo la kuachana. Hadi kufikia kuachana na demu yule kwa talaka mahakamani, the dude must have been a disaster.

Mi huyu dada alinivumilia kwa mengi na bado hakuwahi kutamka suala la kuniacha. Ninachoweza kutamka ni kwamba I broke her heart, that is my confession. And I regret because she had to go through all this mess.
 
Hizi ndoa za siku hizi...bora kuzaa tu na kulea kimalaika.
ndoa walikufa nazo babu na bibi zetu

Hapana. Ndoa bado ni njia bora zaidi ya maisha kama ukipata the right partner
 
unatia aibu mwanaume mzma unakuwa kihelehele kufuatilia ndoa za watu........... Unachekelea kuvunjika kwa ndoa za watu?! Subir na ww linakungoja hlo

Wapi nimechekelea?
 
unatia aibu mwanaume mzma unakuwa kihelehele kufuatilia ndoa za watu........... Unachekelea kuvunjika kwa ndoa za watu?! Subir na ww linakungoja hlo

Yaaa ni kweli apandacho mtu ndicho atakachovuna acha akenue meno sasa anafikiri mazuri"....ole wao wanao cheka sasa maana baadaye watalia."

 
Ex-GF wangu alipoolewa mwaka 2010 desemba nilileta thread hii hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/94798-ex-gf-wangu-kaolewa-jana.html.


Watu walininanga na kunisuta sana eti ni wivu unanisumbua. Walionielewa ni wachache sana. Juzi tuesday nimekutana naye kaniambia wameachana, tena kwa talaka kabisa ya mahakamani.

Jamani muwe mnakubali tu kuwa kuna ukaribu fulani ukishakuwa nao na mtu wako, basi hata kwa hisia tu unaweza kujua kinachomfaa na kisichomfaa.

Mimi nilipokuwa naye sikuwahi kumuuliza size ya kiatu au ya bra, nikifika dukani nikitazama tu naona hiki kitamtoa na kweli hata mwenyewe alikuwa anashangaa. Nilijua hisia zake na taste yake, yaani kwa karibu kila kitu.

Anyway, yaliyopita yamepita. She is happy with her child and professional life, kiuchumi pia yuko vizuri. Mimi pia bado niponipo.

Kuna waliotabiri kuwa ningeleta thread nyingine kumhusu, basi utabiri wao umetimia.

Nakupa pole kwa sababu.

1. Alikuacha na kuolewa na MTU mwingine kwa kuwa ulikuwa bado upo upo tu.

2. Hakuitaji kwa sasa sababu she happy with her child and professional life , we we bado upo upo tu.

Mkuu, it time to move on. au bado upo ........ Tu.
 
Mtu B move on braza, wasingeachana ungetuletea uzi kwamba ulikosea kutabiri?

We are both moving on, na hilo halituzuii kusimuliana tuliyoyaona njiani so far. Mimi na yeye ndio tunaoelewa tulipotoka na tulivyofika hapa tulipo. And we are moving on for sure, rest assured.
 
Nakupa pole kwa sababu.

1. Alikuacha na kuolewa na MTU mwingine kwa kuwa ulikuwa bado upo upo tu.

2. Hakuitaji kwa sasa sababu she happy with her child and professional life , we we bado upo upo tu.

Mkuu, it time to move on. au bado upo ........ Tu.

Bado niponipo kaka. Hupendi?
 
Kaka umeikomalia hii topic duh, mrudie dada mtaishi vema tu coz unampenda
 
We hapo ulipo umenuna?

siyo kununa tu nimechukia sana vijana wa tabia kama yako ni hovyo sana badala ya kuwaombea heri wenzio unavizia waachane unasikitisha sana,ungejua maumivu ya kuachana na mke usingechekelea,mnaacha na mahawala tu macho yana watoka.kama kuna kitu unatakiwa kukiogopa kama ukoma ni mke wa mtu...kweli wewe sikio la kufa.
 
japo sijajua chanzo cha stori ni nini maana hiyo ya mwanzo sikuisoma, ila inaonyesha kama bado una mfeel vile, ila nisingekushauri kumrudia hata kama atataka kujirudisha kwako yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom