Msaada wa computer yangu wadau..

Black ma colour

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
733
661
habari wataalam....

heshima kwenu.....

wadau kwa kweli hii desktopyangu sasa inanipa hasira sana karibu niibwage chini..

inamatatizo yafuatayo..

1. haifungui website ya google, inaniandikia untrusted source ihali mwanzoni ilikuwa

inafunguka barabara.

2. haifungui gmail, nikifungua inaniandikia untrusted source waallah ntaichoma moto.

3. haiplay video yoyote kutoka mtandaoni, nikiplay naambiwa install plugins afu nikijaribu

ku install naambiwa un supported format then naambiwa ant virus yangu haisupport, haki

ya nani lazima niigawe siwezi kukosa uhondo wa ma video makari.

4. haifungui PDF , sasa hapa ndo panakera coz nashindwa kufanya na kusoma mambo yangu

ya msingi..

5. nikiplay vlc video kutoka kwenye ma file yangu, video ina rangi mbaya haionekani vizuri inakuwa kama ramani..

6. haifungui facebook.

NB: Natumia ESET NOD 32 antivirus 4.

WAKUU NAJUA NYIE NI WATAALAMU, NAAMINI MNAWEZA NISAIDIE NIONDOKANE NA TATIZO HILI

NAOMBENI MSAADA WEN.
 
Daaa una hasira kinoma mpaka huja taja Windows unayotumia !
.
Heheeeeee Relax It can be Done!
.
 
wadau mbona mmekausha jamani, mjue mi nawasubiri nyie mnipe maelekezo

nitengeze ka desk top kangu mambo yawe bomba sasa naona mnaniangusha..
 
habari wataalam....

heshima kwenu.....

wadau kwa kweli hii desktopyangu sasa inanipa hasira sana karibu niibwage chini..

inamatatizo yafuatayo..

1. haifungui website ya google, inaniandikia untrusted source ihali mwanzoni ilikuwa

inafunguka barabara. angalia tarehe yako uliyoset kwenye PC yako, then weka tarehe ya sasa. mfano unaweza ukakuta tarehe umeset kuwa 12/08/2006) ambayo ni default date ya window)

2. haifungui gmail, nikifungua inaniandikia untrusted source waallah ntaichoma moto. (angalia tarehe yako uliyoset kwenye PC yako, then weka tarehe ya sasa. mfano unaweza ukakuta tarehe umeset kuwa 12/08/2006) ambayo ni default date ya window)

3. haiplay video yoyote kutoka mtandaoni, nikiplay naambiwa install plugins afu nikijaribu

ku install naambiwa un supported format then naambiwa ant virus yangu haisupport, haki

ya nani lazima niigawe siwezi kukosa uhondo wa ma video makari.( download browser ya kisasa mfano kama googlechrome, au firefox ila inategemea na window gani uliyonayo)

4. haifungui PDF , sasa hapa ndo panakera coz nashindwa kufanya na kusoma mambo yangu (fanya installation ya Pf softwares)

ya msingi..

5. nikiplay vlc video kutoka kwenye ma file yangu, video ina rangi mbaya haionekani vizuri inakuwa kama ramani.. ( tatizo lako ni graphcs au memory ya kuplay video ipo down ukiwa kama umefungua mafile mengi sana.)

6. haifungui facebook.

NB: Natumia ESET NOD 32 antivirus 4. ( antivirus zipo k/koo nyingi au za kudownload kibao)

Nahis ntakuwa nimekusaidia kutokana na maswali yako. ukishindwa nipm au pga simu ukiwa umetuma gharama ya consultation. wasakapesa 0715 805600
 
kwa hiyo tatizo ni ant virus?

NB: Natumia ESET NOD 32 antivirus 4. ( antivirus zipo kko nyingi au za kudownload kibao)

Nahis ntakuwa nimekusaidia kutokana na maswali yako. ukishindwa nipm au pga simu ukiwa umetuma gharama ya consultation. wasakapesa 0715 805600
 
No tatizo c antivirus. tatizo ni setting ya mda, antivirus imekuwa outdated(nafikiria hivyo), huna updated softwares kama za web browser, PDF readers formats,
 
asante sana mkuu..........

may Jah bless ya..

habari wataalam....

heshima kwenu.....

wadau kwa kweli hii desktopyangu sasa inanipa hasira sana karibu niibwage chini..

inamatatizo yafuatayo..

1. haifungui website ya google, inaniandikia untrusted source ihali mwanzoni ilikuwa

inafunguka barabara. angalia tarehe yako uliyoset kwenye PC yako, then weka tarehe ya sasa. mfano unaweza ukakuta tarehe umeset kuwa 12/08/2006) ambayo ni default date ya window)

2. haifungui gmail, nikifungua inaniandikia untrusted source waallah ntaichoma moto. (angalia tarehe yako uliyoset kwenye PC yako, then weka tarehe ya sasa. mfano unaweza ukakuta tarehe umeset kuwa 12/08/2006) ambayo ni default date ya window)

3. haiplay video yoyote kutoka mtandaoni, nikiplay naambiwa install plugins afu nikijaribu

ku install naambiwa un supported format then naambiwa ant virus yangu haisupport, haki

ya nani lazima niigawe siwezi kukosa uhondo wa ma video makari.( download browser ya kisasa mfano kama googlechrome, au firefox ila inategemea na window gani uliyonayo)

4. haifungui PDF , sasa hapa ndo panakera coz nashindwa kufanya na kusoma mambo yangu (fanya installation ya Pf softwares)

ya msingi..

5. nikiplay vlc video kutoka kwenye ma file yangu, video ina rangi mbaya haionekani vizuri inakuwa kama ramani.. ( tatizo lako ni graphcs au memory ya kuplay video ipo down ukiwa kama umefungua mafile mengi sana.)

6. haifungui facebook.

NB: Natumia ESET NOD 32 antivirus 4. ( antivirus zipo k/koo nyingi au za kudownload kibao)

Nahis ntakuwa nimekusaidia kutokana na maswali yako. ukishindwa nipm au pga simu ukiwa umetuma gharama ya consultation. wasakapesa 0715 805600
 
Fanya repair ya windows ukitumia CD ya windows 7. Kisha install latest anti-virus. Repair ukifanya sio lazima utoe windows yote.
 
Back
Top Bottom