Recent content by lwidia2k

  1. lwidia2k

    Kwa nini vyakula vya Africa havisambai duniani au kupendwa kwenye mabara mengine?

    Mahindi yaliletwa africa na wafanya biashara wa kireno na wamisionari
  2. lwidia2k

    Enjoctor pump inahitajika

    Habari wana JF, naamini mpo salama na mna Afya njema. Nakuja kwenu tena nikihitaji hiyo spare part (enjoctor pump) ya mashine yangu Air compressor Jenbacher JW223. Matatizo: inachelewa sana kuwaka, ni mpka ubust na moto mkubwa. Yaani uwe na battery 3 au 4 za kuanzia N70. Wakati stater yake ni...
  3. lwidia2k

    Tupeane visa na mikasa ulivyowahi kukutana navyo kwenye pilika za kusaka utajiri

    Ipepo nimepita leo, nilikua natoka lupila 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  4. lwidia2k

    Kwanini nyumba ikifika hapa inakuwaga ngumu kumalizia?

    Hapa umeongea jambo la msingi
  5. lwidia2k

    Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

    Aiseee, mimi binafsi ni muoga wa usahili, najijua tokea nasoma. Hivyo niliamua kujiajiri mapemaa kabla hizi mbanga za usahili hazijaanza. Ila kweli maisha yanabadirika jmn, siku hizi mambo yako serious kuliko zamani.
  6. lwidia2k

    Mashindano ya Draft - Ronaldo Awa Bingwa Kwa Kumfunga Issa Mamba

    Bingwa wa wa draft TZ 2023 alimpiga ronaldo (CR7) chunya. Kwasasa yeye ndio bingwa.
  7. lwidia2k

    Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Sie bhana hatuhusiki, hata tukileta matopic magumu kama phonology, semantics, hawawezi kutuelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. lwidia2k

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Pole sana classmate tulikua wote udsm 2015-2018. Pole sana ndugu yangu, nilipitia maumivu kiasi lkn alikua ni mtoto wangu wa kiume alifariki 2021 akiwa na mwaka mmoja na miezi 9. Ila kwako naona ni kubwa zaidi. Cha muhimu bwana prospa jitahidi kua na ustahimilivu wa kiume kwasababu wewe ndo...
  9. lwidia2k

    Waarabu wa Gaza walalamika kulishwa ugali, wasema ni chakula cha Ndege

    Issue ni kua wanalishwa chakula ambacho sio cha utamaduni wao, sehemu kubwa ya Asia wana tupia product ya mchele na ngano. Mitume wangezaliwa africa hasa wangeweza kutumia product za mazao ya Africa. Lkn wapalestina wako sahihi kwasababu itahitaji mda kuweza kuzoea aina ya chakula wanayolishwa...
  10. lwidia2k

    Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    Joseph kony mwamba ni jau sana kule northen uganda. Ila inasemekana ni njama moja na mze museveni, pia wanasapotiwa na mmarekani. Hivyo uwepo wa kony unarahisisha upatikanaji wa siraha kwa museveni kutoka nje. All in all, vikundi vyote vinaumiza sana raia na sio serikali.
  11. lwidia2k

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Sasa mdogo angu hapo huitaji akili nyingi sana kuonesha kua huyo bi mkubwa amekuchoka. Lkn sasa udigombane na mtu mwenye umri sawa na mzazi wako. Pia usimwambie mwanae (rafiki yako) kuhusu hayo mambo ya bimkubwa wake (usigombanishe familia ya mtu mwingine). Usichelewe sana fanya ihame hapo...
  12. lwidia2k

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Asa sikia mdogo angu, ukitaka mambo yanyooke ghetto ingiza pisi moja unayoielewa then ikule hiyohiyo halafu plani mishe zako mpaka ufike malengo fulani then ndo uanze uchakaramu wako. Hii issue kuna time ilinisaidia nilikua babe fulani nikawa naikula hiyohiyo huku napiga mishe zangu mpaka mambo...
  13. lwidia2k

    Ukila mke wa mtu, mtunzie heshima yake

    Hapo inategemea na mwanamke mwenyewe. Truth to be told, mwanamke alie olewa si mrahic sana kugawa k kwa mwanaume mwingine, hua kunakua na sababu nyingi sana mahusiano ya ndani yakiwa mabaya au uchumi ni mbaya sana.
  14. lwidia2k

    Ukila mke wa mtu, mtunzie heshima yake

    Sio mke wa mtu tu, ukimlala mwanamke yeyote usimtangaze, pia mheshimu hata kama mmeachana. Kama hamkuachana kwa ubaya msaidie akihitaji msaada wako. Be a man, kua mwanaume. Si vema kulala na mwanamke wa mtu hasa yule alie olewa kwa sheria ya dini either kanisani au msikitini. Mm ni mkristo...
Back
Top Bottom