Waarabu wa Gaza walalamika kulishwa ugali, wasema ni chakula cha Ndege

Kusoma kwangu kote Biblia kwa ujanja ujanja sijawahi kuona sehemu yoyote ,nabiii alisonga ugali au alilima mahindi.Ila mkate ,ngano upo.Imagine mtu anakupikia liugali na manywele (Mansansa).
Embu tuache kutaja Biblia kuwa kama referencea kwa mambo yasiyo na maana, sasa kama Biblia haijataja mtu yeyote kula ugali au kulima mahindi, ina maana kula mchicha, pilau, biryan ni kosa?

Mungu alimwambia adamu, chakula chake kitatoka ktk ardhi, kwahiyo chochote kinacholimwa kikamfaa mwanadamu kwa akili ya kula basi anaweza akala.
 
Probably utakuwa Muslim wewe maana ndio wanaamini ujinga na uongo kuwa ni sehemu ya ibada.. ila hamjui kuwa Muslim ni Program ya Allah au Apps kila kitu keshawapangia kitakachowatokea ikiwepo jehanam.. so wapi mimi katika maandiko nimecheka au kufurahia zaidi ya kuleta malalamiko yao humu kuwa wanachopewa kwa sasa Mahindi wanasema ni chakula cha Ndege na wanyama. Kwa akili yako wewe unapata jibu gani kwa majitu kama ya Gaza yaani msaada umekuwa kero kwao wanataka misaada mizuri.. Wanasahau Mtume wao aliwaambia Muslim akiwa na njaa hata haram like Nguruwe ale tu asife.. why Mahindi karibu Africa nzima inakula.. hii mijitu of stupid are not human.. ndio maana Netanyahu aliwaita Human animal wacha wale mahindi they are deserve
Kwa hiyo mm kuwa muislam kuna mahusiano gani na ww kufurahia mateso dhidi ya binadamu wenzao?
Kwahiyo Bible yako unayo isoma imekufundisha kuwa unatakiwa kufurahia mateso ya binadamu wenzio kisa sio wa dini yako?

Kitendo cha kuita binadamu wenzio majitu unaonesha jinsi gani ulivyo jaa chuki za kipumbavu, na bahati nzuri mungu wako yesu alisha sema chuki hukaa kifuani mwa mpumbavu hivyo ww ni mpumbavu.
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.

Magaidi ya Hamas sio ya kuonea huruma.
 
Kacheka wapi?
Hiyo ni vita ulitaka wale nini na wao ndo walianzisha vita?
Au hujaona dharau zao eti chakula cha ndege?
Kama huna namna tusipangiane!
Kwa hiyo hujaona alivyo leta mada kwa mtindo wa dhihaka ?
Kwani mahindi,mchele,shahiri,vyote si ndege wanakula , sasa ni kipi kibaya walicho kiongea,? alafu kingine hiyo habari aliyo iweka ameipotosha labda hajui kiingereza zivuri.

Kwa hiyo serikali ya CCM ikianzisha Vita dhidi ya Kenya basi hata ww na familia yako mnatakiwa kuuawa au kunyimwa chakula kisa serikali yenu ndo iliyo anzisha vita?

Hii tabia yenu ya kufurahia mateso ya binadamu wenzenu kisa nyinyi mpo kwenye nchi yenye amani ni tabia ya kipumbavu.
 
Haya sasa twende wale raia wavivu wa Israel waliozoea misaada maisha yao yote sasa wajanja wao wanaokusanya misaada yote inayoingia Ukanda wa Gaza wameacha kuwaletea mchele wa basmat na unga wa ngano for bread na wameanza kupeleka mahindi na nafaka zingine ukiwepo mchele kitumbo, so kinachoweza kupikwa ni ugali, Wali bokoboko na Makande.. wamelalamika na ndio kilio cha sasa huko gaza yote even Hamas wamekasirika sana kudharauliwa as if wao wamefananishwa na wanyama au Waafrica.. "tizama wanaleta mahindi chakula cha ndege na wanyama alisikika Gaidi akilalama tule binadamu nini maana yake hii ebo" tunataka mchele tule ubwabwa, ngano na mikate iliyopikwa tayari tunataka chapati za ufuta." Wakiongea kwa hasira..

‘People eat food for birds and animals, not for humans’: Jabalia resident​

In videos obtained by Al Jazeera, Palestinians at the Jabalia refugee camp market in the northern Gaza Strip expressed their suffering as they looked to secure daily food sustenance amid dire shortages of flour and food in the markets and an absence of humanitarian aid.
“We have no food, only some rice. We do not have flour. There is crowding over the available quantities,” one person said.
“We have been living in suffering for 104 days. Today we are searching for our daily food. There is no flour or wheat. People eat corn, and this is food for birds and animals, not for humans” another person said.
“The average citizen in Gaza lives from day to day. We try to secure flour and ready-made bread, but unavailable. People do not have money. The situation is very difficult.”
allah atawafanyia wepesi awapelekee vyakula wavipendavyo wasijali ila kwa sasa waendelee tu kula vyakula vya ndege maana wameyataka wenyewe.
 
Grow Up

Kwa hiyo kama chakula hakipo kwenye Biblia ina maana hakiliwi?

Parachichi, Nanasi, Ndizi, Maembe yote hayajaandikwa kwenye Biblia Ina maana hayaliwi??

Halafu ukisoma Biblia mahali palipoandikwa nafaka haina maana ni ngano peke yake...soma na Biblia ya kiingereza Utakuta neno 'Corn'
Grow Up.
Nazungumzia nilichokisoma mimi
wewe soma kama umekuta mabiringanya ,karanga ni wewe good for you.Tusipangiane.
 
Embu tuache kutaja Biblia kuwa kama referencea kwa mambo yasiyo na maana, sasa kama Biblia haijataja mtu yeyote kula ugali au kulima mahindi, ina maana kula mchicha, pilau, biryan ni kosa?

Mungu alimwambia adamu, chakula chake kitatoka ktk ardhi, kwahiyo chochote kinacholimwa kikamfaa mwanadamu kwa akili ya kula basi anaweza akala.
Muwe mnaelewa kinachoandikwa .Acha kukurupuka.Aliyeandika kula vyakula vingine ni kosa nani? Au umelewa?
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.

Pole sana gaidi mwandamizi,upo zako umatumbini unakula mihogo na mbilimbili,nenda kawape sapoti magaidi wenzako hamas wamesusa ugali
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.

Temaneni kuwaua Wayahudi wala hamna atakayewatesa, mjifunze kuishi kwa amani na watu wa dini zingine, la sivyo mtaendelea kupigwa tu.
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.
Mollel hakuwa mwanadamu?
 
wewe unataka kuwalisha watu sumu ya chuki kusema wanasema wanafananishwa na waafrica hicho ni chakula cha ndege unajua wazi unategemea kuungwa mkono na chuki zako dhidi ya wapalestina weka chuki zako na LGBTQ ambao ni viongozi wako waache sio waache inamaana muache nini malizia mwenyewe??????
walichagua vita dhidi ya njia za amani kupata haki zao
 
Kwa hiyo hujaona alivyo leta mada kwa mtindo wa dhihaka ?
Kwani mahindi,mchele,shahiri,vyote si ndege wanakula , sasa ni kipi kibaya walicho kiongea,? alafu kingine hiyo habari aliyo iweka ameipotosha labda hajui kiingereza zivuri.

Kwa hiyo serikali ya CCM ikianzisha Vita dhidi ya Kenya basi hata ww na familia yako mnatakiwa kuuawa au kunyimwa chakula kisa serikali yenu ndo iliyo anzisha vita?

Hii tabia yenu ya kufurahia mateso ya binadamu wenzenu kisa nyinyi mpo kwenye nchi yenye amani ni tabia ya kipumbavu.
We Mbona unafurahia Waisraeli wakiteswa?
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.
Wakae kwa kutulia kabsa wasichague chakula,wakiona inafaa wawale hao mateka
 
Kusoma kwangu kote Biblia kwa ujanja ujanja sijawahi kuona sehemu yoyote ,nabiii alisonga ugali au alilima mahindi.Ila mkate ,ngano upo.Imagine mtu anakupikia liugali na manywele (Mansansa).
Issue ni kua wanalishwa chakula ambacho sio cha utamaduni wao, sehemu kubwa ya Asia wana tupia product ya mchele na ngano.
Mitume wangezaliwa africa hasa wangeweza kutumia product za mazao ya Africa.
Lkn wapalestina wako sahihi kwasababu itahitaji mda kuweza kuzoea aina ya chakula wanayolishwa ambacho si utamaduni wao.
 
  • Thanks
Reactions: EEX

Uchambuzi murua .Mi nilikuwa nafanya dhihaka tu .
 
Back
Top Bottom