Recent content by Luther3

  1. Luther3

    Sioni usafi wa Lowassa

    hivi inawezekanaje lowasa akasema kua yeye hausiki kwenye richmond?kwakuzingatia yeye ndo alikua waziri mkuu. Je iweje sasa anaanza kusema anataka kuwasaidia vijana wakati alikuepo madarakani na hakuonesha juhudi mufilisi kama anavyofanya sasa? Ameshika nafasi mbalimbali kwenye serikali lakini...
  2. Luther3

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr slaaaaaaaaaaaaa
  3. Luther3

    Hawa wanafaa kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA!

    Mleta thread hii una mawazo mgando
  4. Luther3

    Maskini na chuki kwa Lowassa

    Amekutuma umtete wakati anavyotubia na richmond we ulikua wapi nae kama anafeza za kutosha mbona halali kisa urais na kamwe hatoupata.mafisad mwisho wenu 2015
  5. Luther3

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Du hata mafisadi nao ni wapambanaji?usimpe sifa ya upambanaji au nawewe anakutumia?uliza alietumiwa kumpa sumu mwakyembe yuko wapi?you are the next mungu anawaona na atawalipa hapahapa duniani nyie mafisadi wakubwa
  6. Luther3

    Baada ya kumaliza tu mapenzi ameanza kuliaaaaaa!

    Du umenfurahisha na swali lako
  7. Luther3

    Baby I do

    Unatudanganya bwana
  8. Luther3

    Wanachuo waliomwangukia mwambungu na funzo kwa vijana wa kizazi hizi

    Taarifa ya habari tbc imeonesha jinsi vijana yaani wanachuo cha walimu songea waliokwenda kumwangukia mkuu wa mkoa wa ruvuma mwambungu.hii ni baada ya kugomea kufanya mtihan wa somo ambalo hawakuwahi kufundishwa.kwa mshangao wangu mkubwa ni jinsi vijana hawa wasomi wa kitanzania walivyojiaibisha...
  9. Luther3

    Bungeni: Muswada wa Katiba Unajadiliwa!

    Naangalia bunge lakini naona wabunge walioongea hadi sasa wa ccm wanajadili swala la kumtambua rais badala ya hoja iliyowekwa mezani.du bulaya easter nilikua namheshimu lakin nimeona leo jinsi anavyoacha kuzungumza hoja za msingi na kuanza vijembe(udaku).du kweli hawa hawaangalii maslahi ya...
  10. Luther3

    Barua ya wazi kwa Dr Slaa Part 1 + 2 kuelekea 2015

    Una nauli mjomba?
  11. Luther3

    PhD. ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, ni sahihi?

    Tuijadili ya baba riz!tafadhali
  12. Luther3

    Lowassa ndiyo kimbilio letu Watanzania kuelekea kwenye mafanikio

    Pole u a gud 4nothing.KAWADANGANYE WAJINGA WENZIO.NAN HAJUI KUHUSU CITY WATER NA GARBEGE NYINGINE ULIZOANDIKA HAPO.GO TO HELL
  13. Luther3

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    Ccm at work ukimaliza pitia lumumba ukapate ujira wako
  14. Luther3

    Je, tunahitaji Vazi la Taifa?

    Hivi nasikia vazi vazi la taifa hiv lina umuhimu gani?kwasababu watanzania wengi sidhani kama litachochea uzalendo.uzalendo unatakiwa kuanza na watawala kwanza.au ndo mambo ya posho?
Back
Top Bottom