Maskini na chuki kwa Lowassa

Wapumbavu utawajua kwa ujuha wao, Sisi walalahoi hatumchukii Lowassa na wapumbavu wengine, tunachokichukia ni kutumia Mali zetu za Umma kwa manufaa yao na familia yao. I hate any mpumbavu anayeiba mali zetu za umma kwa manufaa yake. Kwa hiyo kama baba yako alikujengea maisha kwa mtindo wa Lowassa basi hatuna budi nasi walalahoi kukuchukia hata wewe. Mpumbafu kubwa weye, ufisadi mnaotuibia mali zetu ndio umeona ujanja sio?

raslimali ipi aliyoiba tatizo la watu waliopoteza matumaini huwa rahisi sana kuamini pindi wanapodanganywa
 
nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa
wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli
watu ambao wanafaa
kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa wanatafuta maisha bora
kazeni acheni lawana za kitoto
Mtu anapopata hela ya wizi utamjua kwa majigambo ,matusi na dharau,wakati Yule anayeipata kwa jasho busara na hekima utaiona.
 
Akina Sitta na genge lao wamepanda mbegu mbaya sana ya chuki na uhasama. Kadri siku zinavyo songa mbele hata wananchi ambao wamepata utajiri kwa njia halali wataanza kuambiwa ni wezi na mafisadi! Tusipende kushabikia sera za chuki. Kilele cha hii chuki kitakapofika watu masikini hawatajiuliza mara mbili kama wewe umepata mali kwa njia halali ama la. Watajiuliza baada ya madhara makubwa kufanyika.
 
Hapo wewe hofu yako nini?
 
Amekutuma umtete wakati anavyotubia na richmond we ulikua wapi nae kama anafeza za kutosha mbona halali kisa urais na kamwe hatoupata.mafisad mwisho wenu 2015
 
Tuambie basi lowasa amefanya kazi gani kwa bidii iliyomtajirisha? ukiikosa ujue ameiba kwa bidii, mbona watu hawauchukii utajiri wa bakhressa? kwa sababu bidii imeonekana ndani ya utenda kazi wake.
 
Ingekuwa kila lowassa anapotajwa na mtu mmoja jf anaongezeka walau gramu kumi, Leonidas Gama, yule mkuu wa mkoa wa K'njaro angekuwa ashafunikwa!
 
Back
Top Bottom