Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

Status
Not open for further replies.
Ugua pole Mh Edward Lowasa, na bila shaka utapata uponyaji mapema. Mungu akutangulie.
 
Jamaa kasikia Mwakyembe kasambaza waraka, mavi debe. Mwakyembe sasa huo waraka mtumie na yeye naamini utakuwa umemaliza kazi fastaaaaaaa.
Watanzania sasa tunao utamaduni mpya wa chuki za kipuuzi ambao umeasisiwa na mojawapo ya genge la CCM linaloongozwa na Sitta. Hatufiki mbali kwa upuuzi huu.
 
Naishuri serikali, roho ikiacha mwili wa lowasa, utendwe sawasawa kama ulivyotendwa mwili wa balali. hatuuhitaji huku tz.
 
Watanzania sasa tunao utamaduni mpya wa chuki za kipuuzi ambao umeasisiwa na mojawapo ya genge la CCM linaloongozwa na Sitta. Hatufiki mbali kwa upuuzi huu.

acha mambo ya ajabu, usitetee vitu usivyovijua ukiua kwa upanga na wewe utauawa kwa upanga. OVA
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni

Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa. Mh. Ni mzima. Wapiganaji Mh. Benno Malisa, January Makamba, Makongoro Mahanga, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia

Hii ndiyo timu ya EL inayopambana na timu nyingine ya Nape na lile kundi la wabunge wapigania haki za wanyonge. Haya bana, tunamuombea apone ili aje kuona ushindi wa mkwe wake Arumeru.
 
Watanzania sasa tunao utamaduni mpya wa chuki za kipuuzi ambao umeasisiwa na mojawapo ya genge la CCM linaloongozwa na Sitta. Hatufiki mbali kwa upuuzi huu.

kama wewe ni mpuuzi usiwajumuishe na wengine, heri mngemsikia Horace Kolimba r.i.p alipowaambia lichama lenu limepoteza dira na mwelekeo mkazingatia na kurejea kwenye grid reference, ona sasa mshaanza kujiona wapuuzi tena hadharani, aibuuu!
 
Endelea kuwajenga chuki wananchi masikini na wasio na elimu kuna siku utajikuta hata wewe ni muhanga wa chuki hizi. Kumeanza tabia wananchi wakiona mtu ana nyumba nzuri ama gari zuri unaitwa fisadi. Subiri hii chuki ikifika kileleni kama tutabakia salama.
 
Kweli kabisa mkuu wangu huu ushamba sio wa kuushabikia kabisa, kuna jamaa ananiita fisadi eti kwa sababu nina latest Blackberry!! hii si hatari people?
 
Du hata mafisadi nao ni wapambanaji?usimpe sifa ya upambanaji au nawewe anakutumia?uliza alietumiwa kumpa sumu mwakyembe yuko wapi?you are the next mungu anawaona na atawalipa hapahapa duniani nyie mafisadi wakubwa
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni

Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa. Mh. Ni mzima. Wapiganaji Mh. Benno Malisa, Peter Serukamba, January Makamba, Makongoro Mahanga, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia

Duh kumbe ndio MAKAMANDA wake hawa? huyu jamaa soooooooooooo!
 
Watanzania sasa tunao utamaduni mpya wa chuki za kipuuzi ambao umeasisiwa na mojawapo ya genge la CCM linaloongozwa na Sitta. Hatufiki mbali kwa upuuzi huu.

Sasa mkuu hapa Sitta ameingiaje? Ina maana hao wote wanaomuombea afe wametumwa na Sitta. Haya yalikuwa mawazo yangu mkuu na kama ningekuwa mshauri wa Mwakyembe ningemwambia atume ule waraka kwake. Yeye alianzisha kwani wenzake wakimaliza vibaya? Bila chuki unafikiri tutafika? Wabaya lazima tuwachukie.
 
Unajua huyu Lumato ni msanii na anachekesha sana. Kuna wakati ilitoka thread hapa ya mtoto wa Mwandosya anaeitwa Emma akaandika kuhusu hali ya Prof Mwandosya kule India na watu wakawa very sympathetic na Mwandosya, na hata kumwandika katika positive light. Sasa Lumato alifikiri itakuwa vile vile kwa EL! Lumato, tofauti ya Mwandosya na EL katika macho ya watu ni kubwa sana!:biggrin:
 
Endelea kuwajenga chuki wananchi masikini na wasio na elimu kuna siku utajikuta hata wewe ni muhanga wa chuki hizi. Kumeanza tabia wananchi wakiona mtu ana nyumba nzuri ama gari zuri unaitwa fisadi. Subiri hii chuki ikifika kileleni kama tutabakia salama.
funkuro diopuluto ! Nyumba nzuri zimeanza jana ?
 
Kafia mbali huko wewe lowasa,jambazi mkubwa wewe wa mali za watanzania
Lowasa anachukiwa kutokana na ukristo wake, lakini mkumbuke 2015 ni zamu ya wakristo kama sio Lowasa basi ni Dr Slaa, madhara ya kuongozwa na Imamu tunayaona sasa jitu kubwa zima linashindwa kuwafuta kazi watu ambao amewateuwa yeye mwenyewe anasubili mpaka ndugu zetu wafe kwa ajili ya urho wa madaraka wa watu wawili.
Unadhani Lowasa ndio angekuwa pale mjengoni angewachekea hawa mawaziri wawili? angeshawatimuwa siku nyingi.
 
Duh,hivi Edward L. Ni mpiganaji au mwizi?.na kama ni mpiganaji anawapigania wakina nani? Na hao uliowataja ndyo kikosi chake? Mungu anakazi kweli eti maombi yote haya yanamtaja yeye.mi namwombea asife ila Mungu amshugulikie kweli kweli bila halaka.Kwani Edward anajuwa alichokitenda na ifahamike kuwa apandacho mtu radhima akivune hilo halina ubishi.hope wenyevitambi vya muda mtampa habari (yani mnaolipwa)
 
Ndugu zangu Watanzania, si hekima hata kidogo kufurahia matatizo ya mtu mwingine. Si vyema na wala si hulka yetu kufurahia ugonjwa ama kifo cha mtu. Nimesikitishwa sana na baadhi ya watu hapa jamvini kufurahia ugonjwa wa Lowasa mpaka kuzusha kwamba amefariki. Lowasa ni binadamu kama binadamu wengine, hayuko kamili na hakuna binadamu aliye kamili. Lakini si vyema kufurahia kuugua kwake. Vitabu vya dini vinasema kwamba mbaya wako muuombee mema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom