Recent content by Lut

  1. L

    Hili limetokea misri na limekuwa gumzo kubwa nchini humo!

    Huu uvumi(hoax kwa kingereza) umekuepo tangia 2008 ukiwa unazungushwa kwa barua pepe.Haishangazi kuona kwamba umefufuliwa wakati wa kipindi hiki cha pasaka.Soma link ifuatayo mpaka mwisho Miracle in Egypt - Buried Children Saved By Jesus Na uache kuendeleza uongo coz sheria ya mtandao huenda...
  2. L

    Project management Professional ( PMP certification), PM Books na Apple Ipad Air 2

    The 5 Best Online Project Management Courses - Capterra Blog Vya bureau hivi hapa
  3. L

    Ushauri: Nataka kujenga kwa mkopo wa Tsh 40,000,000/=

    Ukitaka vifaa vya ujenzi Dubai tafuta sehemu inayoitwa dragon mart.Pale kuna maduka yawachina na wana vifaa vya ujenzi hasa finishing aina mbalimbali.Ukihitaji msaada wangu ni pm.
  4. L

    Dubai inaongoza kwa uaminifu

    Hata ukiiba kule utadakwa tu Dubai police says whole city now covered by CCTV - Culture & Society - ArabianBusiness.com
  5. L

    Assist me finish this dissertation

    Je una uwezo wa kunisaidia kuandaa proposal mpaka dissertation ? Ni pm namba yako ya simu au email address tuwasiliane. pia napatikana kwenye strike5867@gmail.com, Malipo yauhakika yatakuepo.
  6. L

    Kisa cha Rik Machar na Salva Kiir Sudan Kusini na kisa cha Zitto na CHADEMA

    Acheni kubishana jisomeeni hapa kisa cha Sudani kusini.Wale wenye kupenda Soda, chocolate na vitu vingine vitamu kuna ingredient inaitwa "Gum arabic" ambayo ni muhimu sana kwenye kuzalisha vitu nilivyotaja hapo juu.Inasemekana kwamba Sudan ndo inayoongoza kwa kuzalisha hio kitu kwa sababu ya...
  7. L

    Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

    Huyo mwanamke eti naye nikati ya wale "ma billionaire wa Arusha" lolz!
  8. L

    Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Wabongo tunapenda PR bwana.....yani mtu bado yupo hospitali lakini anafanya jitihada za kuita wandishi wa habari ili ajisafishe. Something is really fishy here!
  9. L

    Emirates yafanya maajabu uwanja wa ndege dar es salaam

    Nilikua najiuliza kwa nini ndege inapokanyaga ardhini abiria tunaambiwa tusifungue mikanda mpaka ndege itakaposmama kabisaa na mpaka pale milango itakapofunguliwa.Huenda hii inaweza ikawa sababu.
  10. L

    Majambazi yapora na kuua ndani ya daladala

    Inabidi mameneja wa matawi watekeleze sheria ili kudhibiti vitendo kama hivi. Benki nyingi zina sheria zinazokataza matumizi ya simu ndani, both kwa wateja na staff.Kiukweli siwezi kusema kwamba nimeingia ndani ya matawi ya mabenki yote huko bongo.Lakini mara nyingi naona watu wakitumia simu...
  11. L

    Kuhusu Raia wa Kweli Katika Nchi Zetu Kabla na Baada ya Uhuru!

    Most wars are fought in the name of nationalism.....arbitrary lines on a map dividing your space from mine.Should we ever revolve from thinking of ourselves as citizens of the World rather than nationalists, peace might just be in sight.
  12. L

    Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

    Inasikitisha pale watu wanaojiita ma great thinkers wanapoanza kudadisi mambo kiutaniutani.vifo vinatokea alafu mtu anakimbilia kujadili who is a billionare and who isnt.It doesnt need a rocket scientist to understand that billlonare is a relative term, especially when used in our LDC context...
  13. L

    ...Kibaki one wife declaration...

    Duh, kwa jinsi anavyohema Lucy, inaonekana kulikua na mtafaruku huko ndani, na huenda akatoa options mbili..... ama atangazwe kama wife pekee, au divorce....it's comedy when I see a strong man dancing to the tunes of his wife!
  14. L

    Mmiliki wa Facebook na wafanyakazi wake washerehekea kupitishwa kwa sheria ya ndoa ya jinsia moja!

    Ujue kwamba tumekwishaa.The gay movement is super strong and connected.
  15. L

    Mmiliki wa Facebook na wafanyakazi wake washerehekea kupitishwa kwa sheria ya ndoa ya jinsia moja!

    kama hio haitoshi, type neno "gay" kwenye google uone rangi zitakazoizunguka search bar.
Back
Top Bottom