Kisa cha Rik Machar na Salva Kiir Sudan Kusini na kisa cha Zitto na CHADEMA

Status
Not open for further replies.

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,849
2,000
KAMA ni mfuatiliaji wa siasa za AFRIKA utaona bara zima linaungua moto kwa sababu ya uroho wamadaraka na kushindwa kuwa tolerant na kupractise democracy.

Mfano mzuri ni kwamba sudan kusin walikua wanalalamika zaidi ya miaka 20 kwamba wanataka kumtoa mkoloni mwarabu katika nchi yao lakini kumbe lengo ni uroho wa madaraka.

Baada ya kura ya maoni umoja wa mataifa waliwapa uhuru na sasa hawana mda mrefu RAIS SALVA KIIR akaanza kumuona makamu wake wa rais RIK MACHAR kwamba anacompete for power HIVO ILI KUMNYAMIZISHA akamfukuza kazi ili asiwe na challenge akiamini atabaki salama na atalala usingizi kwani his rival atakuwa amekwisha mmaliza lakini on turn sasa maelfu ya wananchi wamekufa wanaendelea kufa lakini chanzo hasa ni uroho wa kujilimbikizia madaraka kwa viongozi wengi wa bara la afrika.

Sasa narudi CHADEMA
ukiangalia kinachoendelea chadema hakina tofauti na kinachotokea sudani kusini mh zito alikua anataka kugombea umwenyekiti wa chama, vilevile kugombea uraisi pamoja na mengine ila hayo ndio yalioleta mtafaruku mkubwa chamani je kwanini viongozi wa afrika hatujifunzi kutokana na makosa ya wenzetu ya kung'ang'ania madaraka na vilevile kujikita kueliminate political rival hili ndio limekua janga kubwa la demokrasia afrika.

Nawasilisha.
 
Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,594
2,000
KAMA ni mfuatiliaji wa siasa za AFRIKA utaona bara zima linaungua moto kwa sababu ya uroho wamadaraka na kushindwa kuwa tolerant na kupractise democracy. mfano mzuri ni kwamba sudan kusin walikua wanalalamika zaidi ya miaka 20 kwamba wanataka kumtoa mkoloni mwarabu katika nchi yao. lakini kumbe lengo ni uroho wa madaraka. baada ya kura ya maoni umoja wa mataifa waliwapa uhuru na sasa hawana mda mrefu RAIS SALVA KIIR akaanza kumuona makamu wake wa rais RIK MACHAR kwamba anacompete for power HIVO ILI KUMNYAMIZISHA akamfukuza kazi ili asiwe na challenge akiamini atabaki salama na atalala usingizi kwani his rival atakuwa amekwisha mmaliza lakini on turn sasa maelfu ya wananchi wamekufa wanaendelea kufa lakini chanzo hasa ni uroho wa kujilimbikizia madaraka kwa viongozi wengi wa bara la afrika
sasa narudi chadema
ukiangalia kinachoendelea chadema hakina tofauti na kinachotokea sudani kusini mh zito alikua anataka kugombea umwenyekiti wa chama, vilevile kugombea uraisi pamoja na mengine ila hayo ndio yalioleta mtafaruku mkubwa chamani je kwanini viongozi wa afrika hatujifunzi kutokana na makosa ya wenzetu ya kung'ang'ania madaraka na vilevile kujikita kueliminate political rival hili ndio limekua janga kubwa la demokrasia afrika. nawakilisha

This is what we call comparing oranges with apples kwa kigezo kimoja tu eti kwa kuwa yote ni matunda.

Utovu wa nidhamu na usaliti ndani ya CHADEMA ungeufanyia analysis nzuri kidogo ungejenga hoja nzuri kufikia hitimisho la kisomi zaidi
 
assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,849
2,000
kati ya watu wasaliti na wa kuogopwa ni yule makamu wa rais aliyetaka kupindua nchi ya s.sudan. kuna watu hapa duniani wakati watu mnawaza maendeleo wao huwaza madaraka. ningekuwa mimi ni salva, ningejiuzulu na kumpa jamaa atawale tu kuliko kusambaratisha kabisa ile nchi, kwasababu s.sudan ni muhimu kuliko salva na yule makamu. watu wa aina hiyo ni wabaya sana hawafai kuigwa kabisa.
mkuu soma vizuri uzi chadema haswa viongozi wasikimbie chalenge kwa kueliminate nikushindwa kwa leadership kucontain watu wenye hoja mbadala huwezi kulala salama kwa idea zako mkuu
 
assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,849
2,000
This is what we call comparing oranges with apples kwa kigezo kimoja tu eti kwa kuwa yote ni matunda.

Utovu wa nidhamu na usaliti ndani ya CHADEMA ungeufanyia analysis nzuri kidogo ungejenga hoja nzuri kufikia hitimisho la kisomi zaidi
mkuu ben nakuheshimu lakini logic nilioitoa ni hoja si ya kuzaruliwa mkuu najua ulsoma waraka wa chacha wangwe je unatofauti na huu wa kitila hio hata obama alitumia kushinda urais marekani kama unafatilia siasa za watu yan unatakiwa uthink big na usiwe narrow minded kwa kifupi uwe na akili kubwa
 
Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,594
2,000
mkuu ben nakuheshimu lakini logic nilioitoa ni hoja si ya kuzaruliwa mkuu najua ulsoma waraka wa chacha wangwe je unatofauti na huu wa kitila hio hata obama alitumia kushinda urais marekani kama unafatilia siasa za watu yan unatakiwa uthink big na usiwe narrow minded kwa kifupi uwe na akili kubwa

Yaani strateggy za akina David Plauffe kwenye kura za maoni unazipindisha na kuzishusha kiwango cha waraka wa MM,M1 na M3?

Acha matusi kwa Obama maana sioni sababu ya kumtukana hivi
 
Observer2010

Senior Member
Oct 29, 2010
195
225
Yanayotokea S. Sudan yananifanya nikumbuke moja ya speech mashuhuri ya Mwl. J. K Nyerere kuhusu muungano "
...hakuna Zanzibar nje ya muungano, nje ya muungano kuna sisi Waunguja na wao Wapemba...". Jamaa walivyojiengua Sudan sasa wamekuja gundua wao si Wa South Sudan, bali kila upande una kabila lake. African countries very funny, nadhan ndio maana wazungu walivyokuja enzi hzo walitutawala kirahisi sana.
 
LordJustice1

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
2,264
0
Zitto ni hatari kuliko kansa au hata UKIMWI! Alidai CDM kuna udini, ukanda, ukabila, nk, ambayo ni chorus ya CCM ya muda mfefu sana! Cha kushangaza anaing'ang'ania hiyo CDM yenye ukabila, udini, ukanda, nk. Zitto umeshajulikana kuwa ni kibaraka wa CCM, dhambi hii ya ubaguzi unayoieneza simply kutimiza matakwa ya mabwana zako CCM itakutafuna mpaka kaburini! Time will tell!
 
Van persie

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,099
2,000
Mgogoro Wa Sudan kusini si mwepesi kuufahamu na na ni kichekesho kuhusianisha na kinachoendelea chadema.SPLM lilikuwa ni kundi la kihasi liliondwa na wababe mbali mbali wa kivita ikiwemo riak machar na huyo salva kiir,Kwa muda mrefu hiki kikundi kimeunganishwa pamoja na john garang ndio maana baada ya kuvuliwa madaraka, vikosi tiifu Kwa bwana machar vimeona jinsi gani saliva kiir anakumbatia watu wa kabila lake la dinka.kutokana na msuguano wa chini kwa chini waliokuwa nao kati ya M7 na garang,Inasemekana m7 alihusika katika kifo cha john garang hili ampachike kibaraka wake salva kiir aendelee kujinufaisha kiuchumi katika taifa hilo changa lisilo na viwanda wala miundombinu.Anchokifanya salva kiir ni kutumia museveni sindromu,kuendelea kutafuna rasimali ya mafuta Kwa ajili yake na kabila lake,kumuondoa riak machar Kwa kisingizio cha ufisadi ni uongo bali kutaka kutumia nafasi ya kutekeleza museveni sindromu(kutawala milele na kutajilisha kabila lake).
 
mbona umezunguka kwaiyo ulikuwa unataka kusema
 
lutayega

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
1,276
2,000
Cdm lazima ijitafakari upya mwenendo wake, ila nashukuru katibu mkuu dr slaa ameliona hilo na anataka kulilekebisha
 
assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,849
2,000
Yaani strateggy za akina David Plauffe kwenye kura za maoni unazipindisha na kuzishusha kiwango cha waraka wa MM,M1 na M3?

Acha matusi kwa Obama maana sioni sababu ya kumtukana hivi
sasa mkuu mm nimezungumzia juu ya scramble of leadership hivi unaweza ukawa kiongozi bila mkakati na mkakati ck zote ni siri sasa ubaya wa waraka ni upi kwan umejikita kwenye mapungufu na kutaka kurekebisha pindi wakiwa viongoiz ili chama kiende mbele kwa kusuburi tarehe ya uchaguzi iliokuwa inapigwa danadana. mkuu kuwa mkweli huwezi ukawa kiongzi bila mkakati
 
Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,594
2,000
sasa mkuu mm nimezungumzia juu ya scramble of leadership hivi unaweza ukawa kiongozi bila mkakati na mkakati ck zote ni siri sasa ubaya wa waraka ni upi kwan umejikita kwenye mapungufu na kutaka kurekebisha pindi wakiwa viongoiz ili chama kiende mbele kwa kusuburi tarehe ya uchaguzi iliokuwa inapigwa danadana. mkuu kuwa mkweli huwezi ukawa kiongzi bila mkakati

Ulikua mkakati wa kugombea kura za maoni za urais?Akina David Plouffe hawakua wakijiandaa kuleta mgawanyiko na makundi huku wakipewa nguvu na Republican.

Hawakutukana wala kukashifu viongozi wa chama cha Democrats
 
Lut

Member
Dec 23, 2012
17
45
Acheni kubishana jisomeeni hapa kisa cha Sudani kusini.Wale wenye kupenda Soda, chocolate na vitu vingine vitamu kuna ingredient inaitwa "Gum arabic" ambayo ni muhimu sana kwenye kuzalisha vitu nilivyotaja hapo juu.Inasemekana kwamba Sudan ndo inayoongoza kwa kuzalisha hio kitu kwa sababu ya ubora wa aridhi yake.Ukiongezea na utajiri wa mafuta nchini humo, utakuja kugundua kwamba UK na US wanahusika sana kwenye migogoro ya nchini Sudan.
Kwa taarifa zaidi bonyeza linki hii US and UK pursuing a ‘massive land grab' in South Sudan
 
Welu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
853
500
Bodo yale yale ya upuuzi habari za Zitto hadi lini zitakoma kusikika? He ebu komeni.
 
Mr. Mpevu

Senior Member
Oct 26, 2012
137
250
Zitto ni hatari kuliko kansa au hata UKIMWI! Alidai CDM kuna udini, ukanda, ukabila, nk, ambayo ni chorus ya CCM ya muda mfefu sana! Cha kushangaza anaing'ang'ania hiyo CDM yenye ukabila, udini, ukanda, nk. Zitto umeshajulikana kuwa ni kibaraka wa CCM, dhambi hii ya ubaguzi unayoieneza simply kutimiza matakwa ya mabwana zako CCM itakutafuna mpaka kaburini! Time will tell![/
Zitto aongeze jitihada kidogo tu, anaweza kufanikiwa kutekeleza jukumu alilopewa la kuimaliza CDM kabla ya 2015. Speed yake siyo mbaya na hadi sasa bado yuko on target. Keep on Zitto. Pesa kwanza, demokrasia baadaye.
 
assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,849
2,000
Ulikua mkakati wa kugombea kura za maoni za urais?Akina David Plouffe hawakua wakijiandaa kuleta mgawanyiko na makundi huku wakipewa nguvu na Republican.

Hawakutukana wala kukashifu viongozi wa chama cha Democrats
mkuu nadhani wewe ni mwelewa na ukielewa utawaelewesha wengine, hilary clinton klinton ilifikia alimuita obama kama gaidi yan osama na kulikua na mpambano mkali sana lakini wanachama ndio waamuzi, mfano zito kama 2009 angekubaliwa kugombea na akashindwa kwa nguvu ya kura unadhni haya ya leo yangetokea lakini wazee walishaanza kuogopa demokrasia na kutaka kuihujumu kwa kumlinda mbowe aweze kupita kama nilivosema salva kiir alijua kwa kumng'oa machar mambo yangekua yamepita lakini siasa haziko ivo. siasa na demokrasia fitna yake sio maneno bali sanduku la kura kama unakubalika itajulikana kama haukubaliki utajulikana vilevile ila kumlazimisha mmja ajitoe ili mwinine apite kiurahisi ndio kilichozaa mkakati wa siri kumng'oa mpendelewa alienyesha udhaifu kwan alipita kimagumashi kwa turufu ya wazee badala ya sanduku la kura
 
viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
1,865
2,000
KAMA ni mfuatiliaji wa siasa za AFRIKA utaona bara zima linaungua moto kwa sababu ya uroho wamadaraka na kushindwa kuwa tolerant na kupractise democracy. mfano mzuri ni kwamba sudan kusin walikua wanalalamika zaidi ya miaka 20 kwamba wanataka kumtoa mkoloni mwarabu katika nchi yao. lakini kumbe lengo ni uroho wa madaraka. baada ya kura ya maoni umoja wa mataifa waliwapa uhuru na sasa hawana mda mrefu RAIS SALVA KIIR akaanza kumuona makamu wake wa rais RIK MACHAR kwamba anacompete for power HIVO ILI KUMNYAMIZISHA akamfukuza kazi ili asiwe na challenge akiamini atabaki salama na atalala usingizi kwani his rival atakuwa amekwisha mmaliza lakini on turn sasa maelfu ya wananchi wamekufa wanaendelea kufa lakini chanzo hasa ni uroho wa kujilimbikizia madaraka kwa viongozi wengi wa bara la afrika
sasa narudi chadema
ukiangalia kinachoendelea chadema hakina tofauti na kinachotokea sudani kusini mh zito alikua anataka kugombea umwenyekiti wa chama, vilevile kugombea uraisi pamoja na mengine ila hayo ndio yalioleta mtafaruku mkubwa chamani je kwanini viongozi wa afrika hatujifunzi kutokana na makosa ya wenzetu ya kung'ang'ania madaraka na vilevile kujikita kueliminate political rival hili ndio limekua janga kubwa la demokrasia afrika. nawakilisha
Are you insane ? How on earth can you compare Sudan crisis and Chadema
 
Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,663

Kwa mawazo yangu umtendei haki Zitto kwa kumlinganisha na Rik Machar. Lakini ikiwa unasisitizia kuwa matendo yake ndani ya Chama chake yanafanana na ya huyo Msudani kusini, basi Zitto ni tatizo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom