kongosho, ukiangalia hiyo link... Kuna mengi sana ambayo yanaenda tofauti na kinacho semwa. Kwanza mume na mke tu wenyewe... Their body language siyo. Hawapo comfortable. Kitendo cha kibaki kusisitiza hivyo tena na tena, tena na tena; ni kana kwamba tu anaridhisha ile dhana ya kusema atafanya hivyo na si tu kwa hadhira.
Hii inafanya ionekane kuna uwezekano mkubwa sana kulikuwa na tifu kubwa sana kifamilia (ki ndoa); na ni wazi kibaki alikuwa/anaye mwanamke ama wanawake ambao wanajitamba huko mtaani kuwua yeye pia ni mke kama alivyo huyo aliyesemwa hapo. Yeye kama kiongozi katoa ujumbe huo ni nani ana ubavu wa kusimama hapo apinge kuwa si kweli mie mbona mkeo? :glasses-nerdy:
Napenda niseme... Kuna kitu ambacho mara nyingi wanawake tunachanganya... Hasa tulio na wapenzi wetu. Si kila mwanamke anaye kuwa na mumeo anataka ndoa kwa huyo mume.
Kuna wawake wengine ambao hutoka na waume za watu hilo hawajali, kwa misingi kuwa kuna kitu yeye anataka. Pengine anampenda sana mumeo na karidhia kuwa doormat, pengine anapata support ya kutosha toka kwake anaona bora avumile, pengine mumewe anamthamini sana na kumfanya afurahi kuwa hapo, pengine she is happy with that life stlye ya mtu kuja kwa nadra na si full time package... Na pengine zingine kibao ambazo zinaweza mfanya awe content kuendelea hivyo hivyo kimya kimya na asipende kuwa na mfarakano kati ya mwanaume huyo na mkewe ama familia yake.
All in all this thing is way over complicated. Or just simple but tuna overrate. Whatever the case...