muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,537
- 3,535
Mambo vipi wakuu?
Nina mambo kadhaa ningependa kupata kutoka kwenu! Nina mpango next month kuanza kujiandaa na mtihani wa PMP unaotolewa na Project Management Institute (PMI). Maandalizi yangu yanaanza kwa ku attend training ya PMP inayotolewa na Edupristine! Je, kuna mtu aliyepitia Edupristine (au trainer mwingine) na akafanya mtihani akapasi? Lengo langu ni kushare experience ya hii kitu lakini pia kushauriana ni wapi hapo Dar ninaweza kupata vitabu vya bora vya project management!
Pia ni sehemu gani ninaweza pata Apple Ipad Air 2 at least 64GB?
Thank you guys!