Recent content by LUSAJO L.M.

  1. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili na maswali kwa TCRA: JamiiForums Mbuzi wa Kafara?

    Jaribu kuwa na staha kidogo unapoiongelea Jamii Forums na kutumia maneno ya kuibeza. Tatizo ni zaidi ya ‘ukubwa’ au ‘udogo’ wa Taasisi husika, na tukijaribu kuliangalia kwa mlengo huo tutawa tunafeli zaidi. Haihusiani na kuogopwa kwa chombo kimoja cha habari kwa kuwa ni cha ‘kimataifa’ lakini...
  2. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watumishi KKKT kufanya kazi bila mikataba ya ajira

    Mishahara kama mishahara bila mkataba kuna ukakasi kidogo hapo, lakini pia tunatakiwa jiuliza, je unapoongelea mishahara ina maana inajumuisha stahiki zote ambazo mfanyakazi wa kawaida anastahili? Naweza nikasahihishwa lakini taasisi za kidini zina kawaida ya kuwa na watu wengi ambao ni waumini...
  3. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania Kariakoo ni kituo cha Uchuuzi cha Kimataifa, Sio kituo cha Biashara cha Kimataifa

    Ahsante kwa hili. Moja ni “Landlocked” na pia kwa kweli hatuwezi sema ni Kituo cha Biashara cha Kimataifa ikiwa 99% ya bidhaa zinazouzwa pale ni bidhaa bandia (counterfeit goods). Katika hadhi za Kimataifa hilo tu linafanya tutolewe katika hadhi hiyo.
  4. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Sheria ya kazi kwenye kukataza ajira ya mtoto, ajira ya shuruti na kupiga marufuku ubaguzi katika ajira

    Kaka unaweza kuwa na Sheria ya Kazi na Ajira (Rev 2019). Kama ndio naomba ushare.
  5. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    Kuna yule alikuwaga Beyonce wa Coco. Ukute ndio anaongelewa. Asipuuzwe huyu, ana hoja.
  6. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania Kama Mnyika naye Profesa Lipumba amesema Wamekubaliana pawepo Tume Huru ya Uchaguzi mambo ya Katiba mpya yatafuata baadae!

    Fito tunazogombania wakati tunajenga nyumba moja…
  7. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu madai ya TRA kupandisha ushuru wa magari toka nje ya nchi

    Lakini katika bajeti iliyosomwa kwenye kikao kilichopita cha Bunge la Bajeti, kulikuwa na ongezeko la Ushuru wa Magari lililoainishwa. Swali ni hili… Je ushuru wa magari umepanda?
  8. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    Umeandika sawa ila unapotumia neno waasisi na kuweka hii orodha unakuwa kwa namna moja ama nyengine unakosea. Mfano Langa (May his Soul continue resting in eternal peace) aliibuka baada ya shindano lile ambalo waliunda kundi Yeye, Witness na Shaa (Bongo Flava tayari ilikuwa imetake off). Kuna...
  9. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania Juma Nature kama muziki umekushinda tafuta kazi nyingine, usichafue watu

    Tuwe tunaangalia na kuheshimu watu na kazi zao. Sanaa imeenda mbele sana siku hizi na nilikuwa sijui kama kwenye show bado kuna malipo kama haya (hususani kwa Legends kama Nature). Nature sanaa yake ndio bidhaa yake na yeye ameipa value yake. Anapohitaji malipo sahihi kwa kwazi ya jasho lake...
  10. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Kifo cha Gavana Gilman Rutihinda

    Katika pita pita zangu mitandaoni leo nimekutana na "Twit" inayosema kwamba Gavana wa BOT Gilman Rutihinda (1989 - 1993) alifariki kutokana na ajali ya gari mwaka 1993 kama hii tweet inavyojieleza: Hata hivyo kuna article ya Mwaka 2011 hapa katika Forum inayoelezea kifo cha Gavana Rutihinda...
  11. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania Nimesali sana, nimeroga na nimejiendeleza kitaaluma lakini mwaka wa tatu sina ajira. Je, nimebakiza nini?

    Sasa ukiroga huwa unamlenga nani, maana katika kutafuta kazi kuna several ‘moving parts’ ambazo ndio zinaweza kukuhakikishia kupata au kukosa kazi.
  12. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania Onesha Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa

    Hakuna swali Makarani watauliza linalohusiana na TOZO?
  13. LUSAJO L.M.

    JamiiForums Tanzania TFF Mnajitekenya, Sote Tunajua Hamuwezi Kumfanya Chochote Rais Wa Yanga Eng. Hersi Said.

    Lakini adhabu ilisema Manara asijihusishe na “any sports related activity” sasa sidhani kama kuna pahala pamepinda… Help me understand.
Back
Top Bottom