Recent content by lunodz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mzumbe University - All you need to know

    Mzumbe University invites applications from qualified Tanzanians and non-Tanzanians for admission into Certificate, Diploma Bachelor and Postgraduate programmes offered by the University for 2021/2022. The University offers Bachelor Programmes on three campuses for the academic year 2021/2022...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hebu ' nishawishini ' na Mimi niamini kwamba Hayati Ghaddafi ndiyo alikuwa akiwatendea vyema Wananchi wake

    Nadhani ubora wake utabaki katika jitihada zake za wazi za kutaka kuliunganisha bara la Africa.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nyerere aombewa utakatifu na Waganda: Je, ndio ule Msemo wa Nabii Hakubaliki Nyumbani?

    Labda hatujaona umuhimu wa kumpa utakatifu? Ni nani anayetakiwa kumuombea utakatiu?
  4. L

    JamiiForums Tanzania What's the story: Ulipataje kazi unayofanya au uliyowahi kufanya?

    Kazi yangu ya kwanza baada ya kutoka chuo, nilikutana na ujumbe Whatsapp ukitaka mtu wa nafasi ambayo niliona ninaweza fit. Basi nikatuma maombi kwa maelekezo yaliyotolewa pale, ambapo ilikuwa ni kutuma email yenye viambatanisho vya vyeti pamoja na wasifu. Baada ya muda tulitumiwa email ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba mvumo wa radi kupitwa views na iyena ya Diamond.. ni aibu kwa management

    Management haitafuti views, ubora wa wimbo ndio utakaokupa views (Sote tunafahamu hili). Vilevile tukumbuke tu kwamba wimbo wa Alikiba uliwahi simamishiwa zile views zake. Japo sijui kama walifanikiwa kuzirudisha au laah.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Photo Entry kwa CSEE na ACSEE

    Ninahitaji free software ya kunisaidia kazi ya mtindo huu, naipata wapi?
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Best mobile games ulizowahi kucheza

    Need for speed no limit
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Storage insufficient alert on Infinix zero 4 plus

    Rudisha dukani
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninunue HP au dell

    Dell ni common na user support inapatikana kwa urahisi. Hp ni ngumu (hardware), durable. Tatizo technical support haiko rafiki kwa mafundi wengi lakini pia haiko compatible na software zilizo nyingi. Kwa maana kwamba unahitaji drivers nyingi kwa kila component
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaman nimerudia njian nikienda kariakoo kununua Sim je HTC na INFINIX na HALOTEL Ipi nibebe?

    Infinix ni simu bora kwa gharama nafuu. Check infinixauthority.com
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania pdf translator

    Unaweza jaribu Google translator for documents. Au pitia hapa PDF Language Document Translation Services - Professional Quality Work
  12. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu salary scale za PUT,PHTS na PGSS

    Jamani anayeelewa hivi vitu please tuelekezane
Back
Top Bottom