Lunodzo Mwinuka
Member
- Oct 8, 2015
- 13
- 15
J plus anatosha
Hivi hapo hakuna myahudi hata mmoja?Yote hayo mafreemasons.
BABA MUNGU PEKE YAKE NDIYE MWAKOZI WA MAISHA YANGU!!!
Halaf akishakuokoa anaenda kukula kibogaKatika hao hakuna kama Rambo, ile mititi ya First Blood hatari sana, hata akija na lile bisu tu bila bunduki ananiokoa.
Nashukuru mkuu.Halaf akishakuokoa anaenda kukula kiboga
Leo ni mara ya pili kuona comment ya dis kwa jamaa,Huyo wa mwisho keenu Reeves namchukiaka sana. Kulikuwa na demu wangu flani mjinga kichizi alikuwa akisema anamzimikia anampenda nilimaindigi kichiz
@Muuza madafu wa Ikulu unaitwa mkuuMuuza madafu wa ikulu