Ali Kiba mvumo wa radi kupitwa views na iyena ya Diamond.. ni aibu kwa management

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
Habari wadau..

Mimi mshabiki wa sanaa nimeshangaa sana mvumo wa radi kutoka almost a month sasa ina views 2.5m na hapo hapo iyena imetoka 4 days ago ina 2.6m.

Management ya king wanakosea wapi maana walishinda redioni siku nzima na tv huku wenzao wametengeneza drama tu za mawifi na wakwe

Nini tatizo ni management ya king au ubunifu wa madale
 
habari wadau..

mimi mshabiki wa sanaa

nimeshangaa sana mvumo wa radi kutoka almost a month sasa ina views 2.5m... na hapo hapo iyena imetoka 4 days ago ina 2.6m..

management ya king wanakosea wapi?

maana walishinda redioni siku nzima.. na tv... huku wenzao wametengeneza drama tu za mawifi na wakwe...

nini tatizo ni management ya king au ubunifu wa madale
Mimi hua situmii YouTube screenshot na utupie humu ili uwe na evidence
 
Daaaah watu bhanaa,huo wimbo tangu umetoka mlishauponda kuwa ni mbaya sasa ulitegemea ungezidi viewers wimbo Wa Iyena,hapo limetimia neno.Ila naamini huo mvumo Wa radi kama ungeizidi viewers Iyena pia ungehoji kuwa inawezekana vipi haahahaa...Acha kizuri kisifiwe kipewe sifa yake
 
Sikilizeni tu nyimbo kufananisha nyimbo sijui kuna malengo gani
 
Team kiba hawawezi kufanikiwa mpaka wakubali kwanza kuwa WCB ni wakali zaidi yao!! Kukubali kushindwa ndo njia pekee ya kujipanga upya kimkakati na kuibuka upya kumkabili adui yako!
Kenya wamekubali kuwa music industry ya Bongo iko juu zaidi yao na wanajipanga upya
Yanga walikubali mapemaa msimu ulopita kuwa wapinzani wao simba wako vizuri kuliko wao
Liverpool walikubali kuwa Real Madrid ni mziki mwingine
Bro wangu kiba kubali tu Domo yuko vizuri kwa kila kitu kukuzidi wewe ili ujipange upya
 
habari wadau..

mimi mshabiki wa sanaa

nimeshangaa sana mvumo wa radi kutoka almost a month sasa ina views 2.5m... na hapo hapo iyena imetoka 4 days ago ina 2.6m..

management ya king wanakosea wapi?

maana walishinda redioni siku nzima.. na tv... huku wenzao wametengeneza drama tu za mawifi na wakwe...

nini tatizo ni management ya king au ubunifu wa madale
Management haitafuti views, ubora wa wimbo ndio utakaokupa views (Sote tunafahamu hili). Vilevile tukumbuke tu kwamba wimbo wa Alikiba uliwahi simamishiwa zile views zake. Japo sijui kama walifanikiwa kuzirudisha au laah.
 
Kiba kakosa mbeleko ya wcb ndio maana views zimepoa plus wimbo hauja bamba.

Diamond aachwe kufananishwa na watu wengine.
Hii ni kwel this time huu mwimbo ulipotoka WCB hawakufanya Drama yoyote
 
Mimi hua situmii YouTube screenshot na utupie humu ili uwe na evidence
Screenshot-2018-6-6 Diamond Platnumz Ft Rayvanny - Iyena (Official Music Video) - YouTube.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom