Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 2,699
- 3,087
Kama kweli unataka kujua ngoja tukujuze ila kama utakuwa na chuki zako binafisi hayo yako
Kipindi cha utawala wa Gadafi huduma za afya za wananchi wa Libya zilikuwa bure
Elimu ilikuwa bure hadi unapo fika mwisho wa uwezo wa akili yako
Umeme ulikuwa bure kwa wananchi wote kasoro viwandani ndio walikuwa wanalipia kwa sababu wanautumia kuzalishia
Ilikuwa ukitaka kuoa unalipiwa kila kitu katika maandalizi ya harusi na mkisha oana mnapewa pesa za kwenda kuanzia maisha
Mwisho lilikuwa ni taifa linalo ishi maisha ya raha na linalo heshimika duniani kite
Hayo mambo yote leo yamebakia kuwa historia kwa wananchi wa Libya
Wasio watakia mema waliwagombanisha na wao wakaingia mkenge leo wanajuta
Waafrika na waarabu ni hatupo sawa kiakili ni kama alivyo sema Trup tukipewa silaha tuna uawana wenyewe kwa wenyewe badae wazungu walio wagombanisha na kuwapa hizo silaha wanasepa wanakuachieni muendelee kuuwana maana mnakuwa mmesha jengeana chuki ambayo haiwezi kuisha kwa karine moja