Maabara iwe na uwezo wa kupima mchanyiko wa Udongo wenye sifa zifuatazo kama inavyoonekana kwenye attachment.
Udongo huu ni kwaajili ya kutengenezea Tofali za kuchoma.
Habari wana JF,
Naombeni Taariafa juu ya Upatikanaji wa Mashine hizi za upandaji Mpunga hapa Tanzania kwa mwenye taarifa.
Kwani nimejaribu kufuatilia sijafanikiwa. Kwani nafanya Kilimo hichi Iringa Pawaga,lakini moja ya tatizo kubwa ni namna ya upandaji.
Mchango wenu wana jf wenye kuleta...
Ni vema uanze kwa kujiuliza hasa ni nani mlaji/mtumiaji wa hiyo product then uone uta-deal nae vipi.,na hapo utakuwa umekwepa kugongana na madalali. Binafsi nilishawahi kufanya zoezi hili miaka 3 iliyopita. Namna niliyotumia ni kuwafikia haya Makampuni ya Ujenzi ambayo niliona yana Fursa nyingi...
saana tu,hata ukifuatilia kipindi cha kusoma habari za magazeti asubuhi ,mtangazaji utakuta akiona habari inayotoa changamoto kwa upande wa viongozi wa Serikali zaidi awe wa ccm utakuta anairuka haisomi ila kama uko karibu na tv na unatizama ile picha ya kwenye gazeti UTAONA ANAILUKA LIVE, ...
Sawa mkuu! nadhani nami nastahili katika hilo.Hivyo nikitaka kuunga mkono juhudi hizo mmeweka utaratibu gani ili tuweze badilishana mitizamo mkuu, niweke sawa mkuu sitaki kuchelewa
Mkuu hizi Trip au ushirikiano huu wa wana jf unakuaje ,nijuze mkuu maana ugeni wa jukwaa hili nadhani unachangia,nitashukuru pia (ngataabel@yahoo.com )
Habari Mkuu ,tunashukuru kwa wazo lako na jitihada hizo. Hebu nijuze ,unayo mbegu ya Mpunga aina gani na ina sifa gani? na bei zikoje ? nijuze hiyo ili tuone kama tutaweza fanya na huduma muhimu,natamani ungekuwa consultant wangu ktk shughuli hizi za kilimo. Kwa utalamu wako Kitunguu maji...
safi sana mkuu jiandae kuongeza thamani kwani hapo na soko utalimudu hakuna cha kufulika soko wala nini.Aisee hv ekari moja inachukua miche mingapi? na kwenye mavuno mti moja unawezo wa kutoa wastani wa matunda mangapi kwa msimu mmoja?
aah! ninamaanisha kama jamaa alivyoanzisha idia yake hii hapa then wewe @KOMANDOO ukaja na mbinu za kuiboresha tena zaidi ya hapo na mimi ikanigusa kwani kwani tayari mwaka nimelima kwa mtizamo baadae nije kuboresha zaidi hadi hatua za processing n.k
-sasa hoja ikaja kama tumekutana watu wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.