Upatikanaji wa Mashine za Kupandia Mpunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upatikanaji wa Mashine za Kupandia Mpunga

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by lumbagengata, Jun 12, 2012.

 1. l

  lumbagengata Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Habari wana JF,
  Naombeni Taariafa juu ya Upatikanaji wa Mashine hizi za upandaji Mpunga hapa Tanzania kwa mwenye taarifa.
  Kwani nimejaribu kufuatilia sijafanikiwa. Kwani nafanya Kilimo hichi Iringa Pawaga,lakini moja ya tatizo kubwa ni namna ya upandaji.
  Mchango wenu wana jf wenye kuleta mafanikio.
  Ahsante Nawasilisha Wadau.
   
Loading...