Recent content by lumanija1990

  1. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Tume ya Uchaguzi Uganda yamtangaza Museveni mshindi, Besigye apinga matokeo

    Hivi unafikiri huko hakuna Akina Rubuva ee,
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kabila hana pesa ya uchaguzi, ana pesa za zawadi

    duuh
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kabila hana pesa ya uchaguzi, ana pesa za zawadi

    Sasa mkuu kama zawadi ni kuuza tu kakipande cha gold, hapo DRC kuna madin kiasi gani mppaka washindwe kupata hela ya uchaguzi, sasa ni wauze gunia tano za gold ili waendeshe uchaguzi.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Usifanye biashara kama huna yafuatayo

    mkuu mimi nina mke ninaye hapa chuoni ila yeye hasomi na nina mpango mwezi wa saba nianzishe biashara duka la nafaka hapa moshi yeye ndo atasimamia, mimi nitakuwa naenda kama sina vipindi, mkuu vipi nitakuwa napoteza hela ila napenda biashara niasoma BBA kwa hiyo napenda biashara na ninajifunza...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Usifanye biashara kama huna yafuatayo

  6. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ufalme wa Babeli

    Wasalaamu ndugu wana jf. Jamani nataka kuelewa machache kuhusu huu ufalme, inasemekana huu ufalme ulikuwa ufalme wenye nguvu zaidi kuliko falme zote duniani na inasemekana pia ulitawala dunia yote chini ya mfalme Nebukandneza, je ulitawala na afrika yote mpaka kusini mwa jangwa la...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa mjasiriamali mkubwa mwenye mafanikio makubwa

    Jamani habari mana jf Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki mwenge kilichoppo Moshi nina chukua education (economics and geography). Kwanza kabisa mwaka wa 2014 nilikuwa UDOM nikichukua bachelor of business admistration, nilisitisha kozi kwa sabaabu sikuwa ma mkopo na maisha yakawa...
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchoyo na ubinafsi uliopitiliza

    Nomaaa sana.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa kugombea tena Urais Mwaka 2020, asisitiza yupo fiti

    Asubiri 2025.
Back
Top Bottom