Kumbuka kipindi anawateua alisema yeye hateui vilaza, pia kumbuka , wale vijana waliofukuzwa UDOM mwaka Jana waliitwa vilaza, kwa mantiki hiyo kilaza ni nani?
Mchezaji mmoja hawezi akabeba timu, mfano Wa wanafunzi drsn, mwanafunzi Wa kwanza ana division one ya point 7, halafu anayemfuatia ana four ya 30 wengine waliobaki wanafunzi arobaini wana sifuri wote,
Hivyo mchezaji mmoja hawezi akabeba timu japokuwa uwezo wake kwenye timu utaonekana, na...
Lazima ufanye pilot kwanza, ndo uendelee na mambo Mengine ila pole sana, wakati wewe unamwaga chakula jirani yako analia na njaa, Nina cku nyingi cjakutana nayo, cjui twaweza wasiliana
Huu ugomvi sijui utakuwaje, walimu wengi Wa primary na sekondari haziivi ( I can say they have different polarity), walimu Wa msingi wanajiona ndio wao, sekondari ndio wao hapo sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.