py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,447
Kuelekea Mechi ya chelsea na Man utd
siku ya jumapili hutawaliwa na sayari ya jua na nyota yake ni ya simba,ilhali tarehe 16/04 hutawaliwa na nyota ya kondoo
Chelsea man utd
16
Mechi inachezwa tarehe 16 na namba 16 ni shufaa inagawanyika kwa mbili...Chelsea namba yake kitabibu ni 3,Man utd namba yake kitabibu ni 13,hivo chelsea na man utd wote wana namba witiri
C=3
M=13
C=3+8=11+16=27
M=13+1=14+16=30
Chelsea=27
Man utd =30
NB:Mechi hii Man utd atashinda sababu namba ya siku na tarehe na nyota inambeba na ndivyo inavyosema.tarehe 16 ni namba shufa na mwezi wa 4 pia ni shufa na mahesabu ya kitabibu yanaonyesha namba za Man utd zinaligana
Wekeni mzigo wa laki kesho uamke tajiri