Recent content by Lujiga

  1. L

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mdee aishukia serikali!

    Tuliwàmbia bunge bila chadema alinogi mkabisha sasa mmeona wenyewe da mdee alivyofunguka yâan nàamin mdee peke yake ni sawa na wabunge wote wa kike wa ccm
  2. L

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

    Kwa wanaotaka kujua libraly ya sauti inaghorofa nne ni kubwa kuliko unavyofikilia km upungufu ni mdogo sana sio kama unavyodanganya wanajamii
  3. L

    JamiiForums Tanzania Zote hizi ni hasira kutokanana na CDM kukipokonya CCM viti na kupunguza idadi za kura zao

    Ccm imelàniwa haitakiwi kabisa labda ibadilishe jina
  4. L

    JamiiForums Tanzania Movie iliyowahi kukutoa machozi....

    Beyonce a daughtr of president
  5. L

    JamiiForums Tanzania Machafuko yanayotokea yanasababishwa na nani?

    Kila siku najiuliza eti nchi îtaingia kwenye machafuko hayo machafuko ayawezi kusababishwa na raia kwa raia narudia haitatokea bali kwa askari polisi kwa kutumiwa na serikali ndio watakao leta hayo machafuko ambayo pinda ànayazungumzia kualalisha vichapo
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mh.Hawa Ghasia acha kutugawa watanzania kwa mikoa na makabila.!

    Viti maalum huyo naunga hoja asilimia mia hawanaga hata vya kuongea wanauzi ma mbulula hawa ivu hawa ni wachaga lisu msigwa wenje zito mdee akunan heche slâ wachaa hawa hayoo tumeyashika vibaya
  7. L

    JamiiForums Tanzania Bunge lapwaya: Ni baada ya kukosa changamoto za CHADEMA

    Wamebaki machiz tu kila kitu ndiooooooo mi nakuambia watakuja kuanzisha na wizara ya kulala coz wanapenda sana raha hawa majamàa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu!

    Duh iyo nayo kali head of state naye anataka ushaidi na mhimili wa mahakama una kazi gani na bado tumebakisha àtua chache tunachukua nchi kabla ya 2015 mungu tubariki makamanda
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Wabunge wote wa CHADEMA kutokushiriki vikao vya bunge kuanzia kesho, wataelekea Arusha!

    Wazee wa kuunga bajeti kwa asilimia 100
  10. L

    JamiiForums Tanzania Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Mungu yuko pamoja naci mwigulu kaipata sijui
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tukio la mlipuko lina mambo mengi ndani yake

    Mungu yuko pamoja nanyi makamanda kuna watu wanakela mh mbowe mpambanaji atatoa kaul nakuambia na hutaamin na kielele chako
  12. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mkutano wa CHADEMA Arusha jana kabla ya mlipuko!

    Ehèeê kweli nimeamimi cdm mziki mzito ssm walikuwa na watu kweli ebu wa arusha naomben mnijibu kwa hali hii nchi ianaenda cdm 2015
  13. L

    JamiiForums Tanzania Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Ni ivi ukwel utajurikana yeye si alisema hata ushaidi atautoa mbinguni na lwakatare akafutiwa makosa sas zamu yake amekwishwa achomoki nchemba
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya RPC wa Arusha alioitoa jana

    Poleni wana arusha, watanzania tuko nyuma yenu ila uyo nchemba we ngoja tu
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hello watz hamjambo

    Toka nianze kuifaitilia jf nimejifunza mambo mengi sana mpaka nikaona nachelewa bora nijiunge ndugu watanzania naomba mnipoké mie lujiga wa mwanza tz
Back
Top Bottom